Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi
Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona