Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

Mimi nikikumbuka nilivyokuwa na ujana wa kijinga, ndiyo pale huwa naamini katika bahati.Kuna watu wanapendwa na bahati aisee!Kazi za kuajiriwa tatu niliziacha kizembe tu.Biashara nikachezea hela mwishowe nikaajiriwa tena! Mashaallah=Maisha-raha!
Yah mkuu, mwnyw kukosa bahati imeniumiza sana aisee, unapambana mpaka jasho la damu lkn kukosa bahati inakuja kukuwela kando
 
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k

Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi

Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
waache watu waishi maisha yao,mafanikio sio matako kwamba lazma kila binadamu awe nayo
 
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k

Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi

Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Hii wanaiita mid-age crisis, wengi hutumbukia kwenye ulevi wa kupindukia au hata matumizi ya mihadarati lakini kuna wachache humrudia Mungu wetu kwa nguvu zao zote na kupata faraja tena ya moyo.
 
Kuna braza enzi hizo nikiwa mdogo nilikuwa najiambia huyu braza miaka 35 yupo yupo tu haeleweki ..

Sasa yule braza ndo Mimi

Kuna mambo tukiwa hatujafika umri fulani huwa tunawalaumu walio mbele yetu pasipo kujua imekuwaje wakawa hivyo..

Siku hizi simlaumu wala kumcheka mtu ambae amenipita umri ila maisha yake bado hajajipata ..

Ilihali na mimi sijui ya kesho yangu..
Subiri qjionee.All in all kilq la heri kwake.
 
ACHA kutia watu presha!!

Zamani kumiliki nyumba ya kuishi na mashamba plus vitega uchumi kama ng'ombe ,tela n.k ilikua Kwa mtu zaidi ya miaka 45 na kuendelea!!chini ya hapo walikua wamepanga TU na hawana stress!!

Kimekuja kizazi kinachotaka kumaliza na kumiliki kila kitu before 35 ndio kinataka kuleta pressure kwa jamii!!

Binafsi nimekaribia namiliki kiasi Fulani hata nikienda sehem naweza Rudi nikakuta familia inajiendesha!!
 
Umri ni number tu za kutiana hofu,hakuna umri maalumu wa kuoa Wala kutafuta yote utegemea na fikra zako.
But Pana umri kufanya mambo fulani ni aibu.
Sawa na umri huo au 50 unakwenda club huko ukutani na wenzio zaidi ya watoto watakokuwa wakikushangaa ujana ulikuwa wapi
 
Back
Top Bottom