Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,690
- 6,730
53 ndo nimepata ajira sasa, hapa ni kupambana chapu chapu
Nioe, gari na kiwanja 😁😁
Nioe, gari na kiwanja 😁😁
Yes ushauri mzuri, kama unapata nafasi kabla ya 40 fanya kweli. Ila ikitokea ukafika 40 hujakamilisha pia usipanick, jipange, usikate tamaa. Ukikata tamaa utakua umeharibu kila kitu.Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi
Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
All in all kuwa HAI ni kitu cha kushukuru MNO on top of that afya...mengine yanatafutika.Sipo huko mie, kwenye vikao vya mishangazi sikosi kura za ukatibu.....🙌
Umri umeenda naiangalia floor ya 4 kwa ukaribu
Namna ipo basi tu ni vile hujui huko mbele kunaniSio hatufanyi hatuna namna ya kufanya
Kweli kabisaBado hapo hapo hujarogwa na watu usiowajua.! Maisha ni vita.
Nadhani Tuishie Hapa,,,Hakuna Anaepatia Wala Hakuna Anae Kosea Katika Mlolongo Mzima Wa Maisha Na Aihitaji Lawama Kwa Yoyote Yule......Kuna braza enzi hizo nikiwa mdogo nilikuwa najiambia huyu braza miaka 35 yupo yupo tu haeleweki ..
Sasa yule braza ndo Mimi
Kuna mambo tukiwa hatujafika umri fulani huwa tunawalaumu walio mbele yetu pasipo kujua imekuwaje wakawa hivyo..
Siku hizi simlaumu wala kumcheka mtu ambae amenipita umri ila maisha yake bado hajajipata ..
Ilihali na mimi sijui ya kesho yangu..
Sasa huna mbele wala nyuma, how dou you get haja kubwa na haja ndogo mkuu🤣Dah nikiangalia maisha yangu ndio kwanza Nina 25 ila sina mbele Wala nyuma
Wakuuu nizingatie mambo Gani ili nisiwe na majuto at 40
YepiAina ya mjukuu.
Maana yake anakwambia Piga Nyeto maana mbadala wa Mwanamke ni Nyeto huwezi kupiga Nyeto njia pekee ya kumuepuka Mwanamke ni wewe kuolewa na Mwanaume mwenzio ili awe anakugonga
Finish it
Unaweza kuchange ur life mda wowote ukiwa affected na watu bado uko weak san..Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi
Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Maisha yana kanuni, ila sio lazima ikubali. Kuna kupanda na kushuka. Hapa nilipo Nina 40.. sina mtoto, sina mpenzi sina mke na sina kazi, najishikiza gheto kwa jamaa. 🥺🥺 Najionea huruma ila ndio ivyo hela hakunaKwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi
Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Sexually energy ndo kila kitu kijan ukiwa unalala na wanawake weng/ punyeto serious kbs ur mindset/problem solving uwezo una shuka kwa kasii mnoo na uwez kufanya vitu vigumu coz you lack energy utakua always una complain tu..Mkuu tafuta kazi au fanya biashara inayoeleweka
Kumkwepa mwanamke kwa kigezo cha kupiga nyeto ni dhana ya kutokua timamu kiakili.
Kupata mshahara wa 400k na ukampa mwanamke 200k huyo si anapenda wanawake bali akili hamnazo.
Girls ninao na hela zangu nafanya vitu vya msingi
Ni vile tu umeamua kutoa upwiru wako kwa aina gan ya wanawake.
Aisee🤔Ila maisha yamenifundisha kwamba upatapo nafasi itumie vizuri maana haiji mara mbili na muda haurudi nyuma...
Pale kitaa kwetu wakati tunakua miaka ya 2000's kuna mshakaji age mate wetu alikuaga bishoo sana anajifanya msanii hataki shule muda wote ni bling bling sana... Wazazi na ndugu kila wakimpeleka shule ni kuacha, wanafanya kumuhamisha shule hii na ile ilimradi apate passion ya kusoma... Jamaa alikua bishoo kiasi kwamba aliku anawala mademu wote wa pale kitaa...
Fast forward leo hii yuko pale kitaa amechakaa mbaya, anakosa hela hata ya kula... Pombe zake ni hizi chafu chafu, gongo na zingine zenye kufanana na hizo... Yaani hata nikienda home kusalimia nikimwona huwa najisikia vibaya,.... leo maisha yamemfanyia comeback hana namna nyingine...
Self education, nidhamu, take risk, learn from ur mistakesDah nikiangalia maisha yangu ndio kwanza Nina 25 ila sina mbele Wala nyuma
Wakuuu nizingatie mambo Gani ili nisiwe na majuto at 40