Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,692
- 41,138
Evelyn si una 27 years?Hatuelewagi wala huko 20s ndo tuna nafasi ya kufanya vitu vya maana lakini hatufanyi....umri ukisogea majuto kama yote.
Evelyn si una 27 years?Hatuelewagi wala huko 20s ndo tuna nafasi ya kufanya vitu vya maana lakini hatufanyi....umri ukisogea majuto kama yote.
Ila nlikuaga nachezea hela kwakweli 🙌 kumbe life linanicheki huku likijisemea "niachieni huyu" 😂Bado hujachelewa, tuna inspirational quotes nyingi za watu waliopambana kwenye 40s hadi 60s na kufa wakiwa mabilionea.
Tuzidi kupambana. Muhimu afya..
Hapo ulipo unafanya ishu gani? Tuanzie hapo.Dah nikiangalia maisha yangu ndio kwanza Nina 25 ila sina mbele Wala nyuma
Wakuuu nizingatie mambo Gani ili nisiwe na majuto at 40
Umesema kweli.....waache wafakamie mapombe na viroba.....watabaki kuilaumu ccm imeleta umaskini kumbe ni wao.Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi
Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Hahaaha......Mimi nimekuwa namskia Wema lakini mpaka leo bado yuko 35.25 kaka 😂😂😂
(Wema sepetu akasome)
Hahahaaa very young Don't worry Gombea Ubunge JF kura zote zako.25 kaka 😂😂😂
(Wema sepetu akasome)
Wewe huwa hupendi kabisa kuchoka.Ni maneno mbili-tatu halafu unaususa uzi kwa wenye kujua kucharaza miandiko.
Unaweza kuzingatia mambo ya msingi ila kama huna bahati bc ni mtihani sana
Maisha ni fumbo sana unaweza kuwa mahali mambo hayaendi ukitoka tu unaskia wenzio wametoboa!Unaweza kuzingatia mambo ya msingi ila kama huna bahati bc ni mtihani sana
Nidhamu ya maisha ndiyo itakuepusha huko.Dah nikiangalia maisha yangu ndio kwanza Nina 25 ila sina mbele Wala nyuma
Wakuuu nizingatie mambo Gani ili nisiwe na majuto at 40
Sipo huko mie, kwenye vikao vya mishangazi sikosi kura za ukatibu.....🙌Hahahaaa very young Don't worry Gombea Ubunge JF kura zote zako.
Mm kuna mambo yangu mengi yamefeli kwa sababu sina bahati, mambo yanakuja kuharibika dkk za mwishoAkili kubwa hongera sana Mpare wa....
Mimi nikikumbuka nilivyokuwa na ujana wa kijinga, ndiyo pale huwa naamini katika bahati.Kuna watu wanapendwa na bahati aisee!Kazi za kuajiriwa tatu niliziacha kizembe tu.Biashara nikachezea hela mwishowe nikaajiriwa tena! Mashaallah=Maisha-raha!Unaweza kuzingatia mambo ya msingi ila kama huna bahati bc ni mtihani sana