Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
AhsanteSelf education, nidhamu, take risk, learn from ur mistakes
AhsanteSelf education, nidhamu, take risk, learn from ur mistakes
😀😀😀Maana yake anakwambia Piga Nyeto maana mbadala wa Mwanamke ni Nyeto huwezi kupiga Nyeto njia pekee ya kumuepuka Mwanamke ni wewe kuolewa na Mwanaume mwenzio ili awe anakugonga
Finish it
Ni kwelii..Ila maisha yamenifundisha kwamba upatapo nafasi itumie vizuri maana haiji mara mbili na muda haurudi nyuma...
Pale kitaa kwetu wakati tunakua miaka ya 2000's kuna mshakaji age mate wetu alikuaga bishoo sana anajifanya msanii hataki shule muda wote ni bling bling sana... Wazazi na ndugu kila wakimpeleka shule ni kuacha, wanafanya kumuhamisha shule hii na ile ilimradi apate passion ya kusoma... Jamaa alikua bishoo kiasi kwamba aliku anawala mademu wote wa pale kitaa...
Fast forward leo hii yuko pale kitaa amechakaa mbaya, anakosa hela hata ya kula... Pombe zake ni hizi chafu chafu, gongo na zingine zenye kufanana na hizo... Yaani hata nikienda home kusalimia nikimwona huwa najisikia vibaya,.... leo maisha yamemfanyia comeback hana namna nyingine...
Mm nakaribia kuingia 3rd floor, sina mbele wala nyuma lakn sijutii kwa sababu nimepambana sana kwenye my 20's. sjawahi kufanya starehe yyte wala kwenda viwanja, wala sio mtu wa kuendekeza wanawake lakn bado mambo ni bila bila.Hatuelewagi wala huko 20s ndo tuna nafasi ya kufanya vitu vya maana lakini hatufanyi....umri ukisogea majuto kama yote.
Kuna braza enzi hizo nikiwa mdogo nilikuwa najiambia huyu braza miaka 35 yupo yupo tu haeleweki ..
Sasa yule braza ndo Mimi
Kuna mambo tukiwa hatujafika umri fulani huwa tunawalaumu walio mbele yetu pasipo kujua imekuwaje wakawa hivyo..
Siku hizi simlaumu wala kumcheka mtu ambae amenipita umri ila maisha yake bado hajajipata ..
Ilihali na mimi sijui ya kesho yangu..
Sio bahati if you stop learning umeishaa.. Kbs.Unaweza kuzingatia mambo ya msingi ila kama huna bahati bc ni mtihani sana
Pole sana mkuu. Usijione mnyonge; ipo siku utatoboa.Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi
Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Ur net Worth nijue bahat yako 😂😂Mimi nikikumbuka nilivyokuwa na ujana wa kijinga, ndiyo pale huwa naamini katika bahati.Kuna watu wanapendwa na bahati aisee!Kazi za kuajiriwa tatu niliziacha kizembe tu.Biashara nikachezea hela mwishowe nikaajiriwa tena! Mashaallah=Maisha-raha!
Hiki ndo kitu watu weng wanadhani hawana bahati eti ukifeliiMm kuna mambo yangu mengi yamefeli kwa sababu sina bahati, mambo yanakuja kuharibika dkk za mwisho
Halafu uwe umemzalisha mtoto wa watu a ramani haziwomi haaaaaKwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi
Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Yote ni kujilisha upepo_____ , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
Oh okay iko hv ninapo sema kuwa bahili kwa wanawake namanisha usihonge PESA kuliko kipato chako n ikiwezekana piga chini kabisa sw. Na kuhusu Elimu y jambo unalo fanya kama unalima pata Elimu ya kilimo usika kwa ufasaha,kama unafanya bznes uwe n elimu y iyo bznes kwa ufasaha kabisaa mfano unataka kununua n kuuza madini,mahindi,korosho,mifugo au mchele.Mkuu Nimekuelewa kuwa bahili kwa wanawake maana yake Nini?
Nisijihusishe na mahusiano au niwe vipo, na kupata elimu Ina maana Gani?? Taaluma au
Ukifika floor ya nne usisahau kunishtua nikukaribishe, huku baridi limekuwa kali😅Sipo huko mie, kwenye vikao vya mishangazi sikosi kura za ukatibu.....🙌
Umri umeenda naiangalia floor ya 4 kwa ukaribu
Mkuuu Nimekuelewa sana tena sana naomba kuchukua nafasi hii kukuomba ushauriOh okay iko hv ninapo sema kuwa bahili kwa wanawake namanisha usihonge PESA kuliko kipato chako n ikiwezekana piga chini kabisa sw. Na kuhusu Elimu y jambo unalo fanya kama unalima pata Elimu ya kilimo usika kwa ufasaha,kama unafanya bznes uwe n elimu y iyo bznes kwa ufasaha kabisaa mfano unataka kununua n kuuza madini,mahindi,korosho,mifugo au mchele.
Fanya sana saving kuliko kutumia PESA kwenye anasa kuliko maendeleo.
Kama BADO hujaelewa hapo basi.
DUNIA NI DUARA.
kazi ni kipimo cha utu
Usiwaze hayo mambo kabisa , Fikiria kuhusu mipango ya muda mrefu ; miaka 3 mbele .Dah nikiangalia maisha yangu ndio kwanza Nina 25 ila sina mbele Wala nyuma
Wakuuu nizingatie mambo Gani ili nisiwe na majuto at 40
Hii mada ina ukweli mtupu aise.