Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

Dah umenikumbusha Uncle wangu mmoja hivi, alianza kushika pesa akiwa na umri wa miaka 19 miaka ya 80.

Alikula bata sana, viwanja vyote vya miaka ya 80 kuja 90 alikuwa anatimba, viwanja kama Rungwe kwa Mwakitwange, mbowe club, jangwani sea breeze kote huko walikuwa wanamjua.
Dah akaja kulost enzi ya mkapa.
Mpaka Leo Hana hata nyumba, pesa imekimbia kabisa.

Sasa hivi Kawa mtu WA dini sana.

Ila maisha yake yamekuwa lesson kwetu.
Mnamfanya shamba darasa sio?
 
Ila maisha yamenifundisha kwamba upatapo nafasi itumie vizuri maana haiji mara mbili na muda haurudi nyuma...

Pale kitaa kwetu wakati tunakua miaka ya 2000's kuna mshakaji age mate wetu alikuaga bishoo sana anajifanya msanii hataki shule muda wote ni bling bling sana... Wazazi na ndugu kila wakimpeleka shule ni kuacha, wanafanya kumuhamisha shule hii na ile ilimradi apate passion ya kusoma... Jamaa alikua bishoo kiasi kwamba aliku anawala mademu wote wa pale kitaa...

Fast forward leo hii yuko pale kitaa amechakaa mbaya, anakosa hela hata ya kula... Pombe zake ni hizi chafu chafu, gongo na zingine zenye kufanana na hizo... Yaani hata nikienda home kusalimia nikimwona huwa najisikia vibaya,.... leo maisha yamemfanyia comeback hana namna nyingine...
Dunia ya sasa wanaofanikiwa ni wachache ,yaani duru liko hivyo ..Kama unabisha jaribu kuangalia hapo kitaa chako ,wangapi wamefika mbali ,wengine wametembea sana labda familia na nyumba za kuunga ila vizinga vinawaweka mjini..

Kijana miaka 35 ana mvi kichwani kama kamwagiwa unga wa ngano .Mimi namjua msela alikuwa na ujinga kama huo kwa sasa ni kichaa wa kukaa uchi kabisa ,ila huyu analaana kabisa alimpiga mama yake .

Namjua mwanajeshi ambaye sasa ni mlinzi kwenye Godown za waarabu ,nyuma alikuwa na heshima sana mpaka alikuwa anatununulia vitu kama pipi ,full upendo ila leo kachaa : ana watoto wawili wote wako vizuri ila ni vile wako upande wa mke na waliachana kitambo.
 
Maisha yana kanuni, ila sio lazima ikubali. Kuna kupanda na kushuka. Hapa nilipo Nina 40.. sina mtoto, sina mpenzi sina mke na sina kazi, najishikiza gheto kwa jamaa. 🥺🥺 Najionea huruma ila ndio ivyo hela hakuna
Usiwe na stress ,ipo siku utakuwa unapambania pumzi pale ICU ,utaonq umuhimu wa pumzi kuliko hata familia na maisha bora.

Bado sana pambana.
 
Hiki ndo kitu watu weng wanadhani hawana bahati eti ukifelii
Sema unakosa analytics mindset kulearn from ur mistakes..
Hiko ni kingereza hakuna cha maana ,maisha unategeneza bahati wala hakuna kanuni za kizungu.

Wakati tunaanza kutumia mitandao, kulikuwa na mtandao unaitwa Eskimi kama Facebook ,ila jamaa alipotea na Facebook akarise ..Kiufupi hakuna hizo kama unahisi unajua hizo ,nioneshe jina la ukoo wako kwenye Matajiri wa Tz.

Hao waarabu waliofanikiwa hapa bongo ni asilimia chache tu ,wapo wengi wanafanyabiashara kariakoo tangu miaka ya 90's ,wanaanguka na kurudi tena.
 
Oooh,thanks!
Naachaje, if we can't support each other why should we be comrades!.
(Goblin)
129508.jpg
 
Kuna braza enzi hizo nikiwa mdogo nilikuwa najiambia huyu braza miaka 35 yupo yupo tu haeleweki ..

Sasa yule braza ndo Mimi

Kuna mambo tukiwa hatujafika umri fulani huwa tunawalaumu walio mbele yetu pasipo kujua imekuwaje wakawa hivyo..

Siku hizi simlaumu wala kumcheka mtu ambae amenipita umri ila maisha yake bado hajajipata ..

Ilihali na mimi sijui ya kesho yangu..
Kabisa ni utoto tu ila life n fumbo.
 
Back
Top Bottom