Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k

Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi

Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Maisha ni kitendawili, ni fumbo na mwishowe, ni Ubatili! Ishi unavyojisikia kuyaishi. Maamuzi, fursa, bahati na mazingira yakiruhusu, yatumie vizuri ila kwa hadhari pia. Binadamu wenzako, wawe ni ndugu, marafiki, wenzao, majirani, wafanyabiashara au waajiriwa wenzako, wanaweza kuwa chachu na au shubiri na changamoto au baraka katika maisha yako. Sina uhakika kama ukiomba Mungu au la ndio mambo yako yatanyooka au la! Yaendeshe maisha yanavyokujia, hayana kanuni ikiwa Kheri au kinyume chake, shukuru!
 
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k

Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi

Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
AAAhhh wapiii...nimeona wengi wanatoboa baada ya 40....huo ni mtazamo wako tu pengine mila na tamaduni ...kuna jamaa zangu asili ya kiAsia wana zaidi ya 40 na bado wako majumbani mwao na maisha yanaendelea kama kawa...kejeli zitakuwepo tu pamoja na masimango hata kama haupo kwa wazazi wako na hata kama umetoboa ingawa sijui kipimo cha kutoboa ni kipi,,,,,,
 
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k

Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi

Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
uko sahihi gentleman 100% :KasugaYeah:
 
Yah mkuu, mwnyw kukosa bahati imeniumiza sana aisee, unapambana mpaka jasho la damu lkn kukosa bahati inakuja kukuwela kando
Mimi nina ndugua ambaye alifika 42 akiwa analipiwa kodi ya chumba na sio nyumba ila alipofika 45 yenye ndiye bread winner wa familia na akiwasomesha wadogo na watoto wa dada zake private school.
Mafanikio ni suala la kiroho zaidi na sio juhudi za kazi.....hakuna kinachochoitwa BAHATI bali ni siri ya KIROHO
 
Mkuu we acha tu mambo yanabadilika sana... nakumbuka mi wakati nasoma chuo kipindi hicho niliweka nadhiri kwamba nikipelekwa kijijini siend mi nataka kufanya kazi mjini, but nikapata job mjini.... sasa hv hata huko kijijini watu wana wish kwenda....

Nawahurumia madogo wa siku hizi maana sipati picha na elimu yangu nianze kusajili line, kuwa winger, sijui kukoroga zege..... pole sana madogo
Kusajili lain kuna maokoto zaid ya salary slip
 
Back
Top Bottom