Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

Watu wanachukua hatua since day one ,ila ukweli utabaki pale pale wanaofanikiwa ni wachache ..Kwa watumishi wa umma umri huo ni wamafanikio ,mtu kushakuwa senior ,ufahamu mkubwa wa mambo ya kazi na kijamiim..Miaka michache sana ,kuna watu wanajenga na pesa za kustaafu.
Kweli kabisa zama hizi ukiwa mtumishi haswa wa umma ni rahisi sana kufanikiwa ukiwa na umri mdogo endapo ukipata ufahamu mapema wa kuwekeza.
Hilo akina siye tumeligundua too late tunabaki tunatamani kama ingekuwa inawezekana tungepunguziwa umri turekebishe njia tulizopitia..
Familia nazo zinachangia pakubwa.
 
Kweli kabisa zama hizi ukiwa mtumishi haswa wa umma ni rahisi sana kufanikiwa ukiwa na umri mdogo endapo ukipata ufahamu mapema wa kuwekeza.
Hilo akina siye tumeligundua too late tunabaki tunatamani kama ingekuwa inawezekana tungepunguziwa umri turekebishe njia tulizopitia..
Familia nazo zinachangia pakubwa.
Kabisa.majukumu yanakaba boss
 
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k

Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike huu umri ukukute bado upo kwa wazazi,hakuna investment yeyote umefanya, huna Chanzo chochote cha kipato mbaya zaidi ukiona wale age mates uliocheza nao utotoni, uliosoma nao shule , uliokuwa unashinda nao maskani mkipiga story wametoboaa wanajitegemea ww bado Ramani hazisomi

Nakwambia ukiwa kama kijana chukua hatua mapema achana na zile story sijui life start at 40 , sijui mungu kila mtu na riziki. Yake aisee
.
Ukifika hii hatua kila aina rangi utaiona
Umenigusa sana na hili andiko,,, ukishafika 40 ukipiga hesabu miaka iliyobaki kufika 60 ndo unaanza kuona umechelewa, maana una Makumi Moja tu lilio zima halafu unaangalia utitiri wa majukumu sasa, halafu ukifikiria ajira kwasasa ni mtihani inabidi uwatengenezee kitu watoto wapate pa kuanzia au ndo wafanye maisha kabisa...

Enzi zetu unachukua barua ya Utambulisho chuo bila cheti wala transcript halafu unaenda pale Wizara ya Afya unasubiri mwezi mmoja kupangwa kituo cha kazi, wazazi wengi kazi ilikuwa ni kusomesha tu ila sasa, mzazi usomeshe na utengeneze njia kwa mwanao bila hivyo ni shida..
 
Dah nikiangalia maisha yangu ndio kwanza Nina 25 ila sina mbele Wala nyuma

Wakuuu nizingatie mambo Gani ili nisiwe na majuto at 40
TANGU NIKIWA MDOGO EARLY 20 NILIKUWA NAJISEMEA NIKIFIKISHA 25_26 LAZIMA NIOE,LAHAULA NDO KWANZA NNAKARIBIA 30 NA NDO NIMETOKA KUPATA FIRST BORN NA BADO SIJAOA JAPO. KIDOGO MIPANGO INAENDA.
 
Umenigusa sana na hili andiko,,, ukishafika 40 ukipiga hesabu miaka iliyobaki kufika 60 ndo unaanza kuona umechelewa, maana una Makumi Moja tu lilio zima halafu unaangalia utitiri wa majukumu sasa, halafu ukifikiria ajira kwasasa ni mtihani inabidi uwatengenezee kitu watoto wapate pa kuanzia au ndo wafanye maisha kabisa...

Enzi zetu unachukua barua chuo bila cheti wala transcript halafu unaenda pale Wizara ya Afya unasubiri kupangwa kituo, wazazi wengi kazi ilikuwa ni kusomesha tu ila sasa, mzazi usomeshe na utengeneze njia kwa mwanao bila hivyo ni shida..
Mkuu we acha tu mambo yanabadilika sana... nakumbuka mi wakati nasoma chuo kipindi hicho niliweka nadhiri kwamba nikipelekwa kijijini siend mi nataka kufanya kazi mjini, but nikapata job mjini.... sasa hv hata huko kijijini watu wana wish kwenda....


Nawahurumia madogo wa siku hizi maana sipati picha na elimu yangu nianze kusajili line, kuwa winger, sijui kukoroga zege..... pole sana madogo
 
Ila maisha yamenifundisha kwamba upatapo nafasi itumie vizuri maana haiji mara mbili na muda haurudi nyuma...

Pale kitaa kwetu wakati tunakua miaka ya 2000's kuna mshakaji age mate wetu alikuaga bishoo sana anajifanya msanii hataki shule muda wote ni bling bling sana... Wazazi na ndugu kila wakimpeleka shule ni kuacha, wanafanya kumuhamisha shule hii na ile ilimradi apate passion ya kusoma... Jamaa alikua bishoo kiasi kwamba aliku anawala mademu wote wa pale kitaa...

Fast forward leo hii yuko pale kitaa amechakaa mbaya, anakosa hela hata ya kula... Pombe zake ni hizi chafu chafu, gongo na zingine zenye kufanana na hizo... Yaani hata nikienda home kusalimia nikimwona huwa najisikia vibaya,.... leo maisha yamemfanyia comeback hana namna nyingine...
Maisha ni Rula.

Ukijifanya nunda umepinda, yata kunyoosha kisawasawa.
 
Kwani dar ndio wapi ebu acheni stori zenu za vijiweni maisha sio rahisi kama unavyozungumza kuna watu wapo dar wanafaight mwanzo mwisho ila kutoboa ni ngumu
Acha visingizio Mkuu, ukiona upo JF na bado upo eneo lenye fursa kama Dar na bado kwa mwaka mzima hauwezi kuweka shilingi laki tano ya kununua kiwanja kwenye viwanja vya miradi mkoa wa Pwani. Jua wewe unazingua.
 
Hiko ni kingereza hakuna cha maana ,maisha unategeneza bahati wala hakuna kanuni za kizungu.

Wakati tunaanza kutumia mitandao, kulikuwa na mtandao unaitwa Eskimi kama Facebook ,ila jamaa alipotea na Facebook akarise ..Kiufupi hakuna hizo kama unahisi unajua hizo ,nioneshe jina la ukoo wako kwenye Matajiri wa Tz.

Hao waarabu waliofanikiwa hapa bongo ni asilimia chache tu ,wapo wengi wanafanyabiashara kariakoo tangu miaka ya 90's ,wanaanguka na kurudi tena.
Sio rahis kufanikiwa darasani tu waulize waliokua wanapata A y math Nilidhan bahat kumbe hamna Genius lazima usafee background kuna fail nyingi na maumivu.. Keep learning acha ego..
 
Back
Top Bottom