Kumetokea nini huko UVCC tena?
Mnataka wote tuwe machawa?
Ajira hakuna, wanaofanikiwa ni watoto wa wenye nchi sisi masikini tukikaba mnatutishia kutuua.
Mtoe ajira nasi tuhame kutoka kwa wazazi wetu.
Mnaajiri wazee wale wale kila siku serikalini na kwenye chama, mkiweza mtoeni Wasira mnipe mimi muone kama nitaendelea kuishi kwa wazazi wangu.