Usipotoshwe na watu wasioelewa maana na utaratibu wa kuwa na raia pacha. Angalia hapa maelezo ya uraia pacha na niulize swali lolote nitakujibu

Kwa hiyo hicho ndio kiwe kigezo cha kutoruhusu uraia pacha?

Sasa wewe na wenzio ambao sio Diaspora mnapendana, hadi sasa wenzio wameshakupa pesa ngapi za kuwekeza nchini?
Sijasema kama ndio kigezo tatizo la watz hatuna umoja tukiwa nje ya nchi,mkiwa na umoja na upendo ni rahisi kupush hiyo agenda kwa serikali
 
Leteni maswali wana JF, bado nasubiri. Au thread imekalimilika na kufumba watu midomo?
Tanzania inaogopa watanzania wake waliopo nchi zanje. Maana hawataweza kuwashitaki katika mambo yasiyokuwa yamaana kama kisiasa, uhuru wakusema.
Suali mtu ni raia pacha akifanya kosa atashtakiwa? jee ile nchi yapili wanao uweZo wakumuomba Raia wawo.
Kwetu tume zowa kubambikiza kesi.

Au kuna maasharti yatakayo wekwa
 
Sijasema kama ndio kigezo tatizo la watz hatuna umoja tukiwa nje ya nchi,mkiwa na umoja na upendo ni rahisi kupush hiyo agenda kwa serikali
Diaspora wana umoja ndio maana wanapush agenda ya uraia pacha. Au hujasikia umoja wa Diaspora? Tatizo wewe unatafsiri umoja kuwa maana yake kupeana pesa, kama vyama vya kufa na kuzikana
 
Ndugu unaweza kutupa mifano ya nchi ambazo yametokea hayo ambayo unahofia yanaweza kutokea nchini Tanzania?
 
Mimi si mtu wa sheria, kwa hiyo majibu yangu yanakuja kutokana na kesi mbili za raia wa Uk wenye uraia pacha ambazo zimekuwa zikiripotiwa sana hapa UK. JIbu langu ni kuwa inategemea na pasi gani mtuhumiwa ameingilia katika nchi inayomshikilia. Mfano ikiwa mtu ameingia kenya na pasi ya kenya na anayo pasi ya Uk akifanya kosa akiwa kenya anashitakiwa kama ni mkenya. Serikali ya UK huwa haina nguvu ya kuilazimisha kenya kum deport raia huyo. Wanachoweza kufanya ni kukubalina tu na serikali ya kenya kumhamisha mfungwa huyo kwenda kutumikia kifungo chake nchini UK, na ni juu ya serikali ya kenya kufikia uamuzi huo.

kwa ufupi pasi unayoingilia katika nchi ndio inayo determine uraia wako wakati ule na serikali husika inaku treat according na maombi yaliomo katika pasi yako na sio uliyoiwacha nchi yako ya pili au ndai ya begi. Pasi unayoi present uhamiaji ndio pasi inayodetermine uraia wako. Pia huwezi ku present pasi zote mbili uhamiaji kwa wakati mmoja.
 
Hoja zako ni za kinadharia kuliko uhalisia. Tupe mifano hai ya faida za uraia pacha ilizopata nchi jirani kiuchumi.

Kwa sasa mgeni hawezi kumiliki ardhi Tanzania, huoni kama uraia pacha utaruhusu mgeni kumiliki ardhi kwa mlango wa nyuma? Kenya, Rwanda na hata Uganda wana population kubwa kufananisha na Ardhi waliyonayo, bado kuna wageni wa hovyo kama wahindi na wachina wote hao tumejipangaje kukabiliana nao.
 
Unataka kuniambia kuwa Tanzania population kubwa ya watanzania wanamiliki ardhi hivi sasa?
 
MKuu, rudi tena ukasome thread juu ya vigezo vya kuwa raia pacha
 
“I hereby declare, on oath, that I absolutely and entirely renounce and abjure all allegiance and fidelity to any foreign prince, potentate, state, or sovereignty, of whom or which I have heretofore been a subject or citizen; that I will support and defend the Constitution and laws of the United States of America against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I will bear arms on behalf of the United States when required by the law; that I will perform noncombatant service in the Armed Forces of the United States when required by the law; that I will perform work of national importance under civilian direction when required by the law; and that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; so help me God.”
 
Mie sioni sababu za Mulamula kama zina msingi. Issue siyo BIRTHRIGHT yako, ni birthrnight ya webziyo wa Somalia na Kenya na Rwanda unakotaja kuhamia. Kama umechagua Indi, nenda huko kaa huko - ukitaka uraia pacha na ao pia watataka kutunza birthright yao.

Tuna wakimbizi naelfu kwa maelfu hapa Tanzania, nao wana burthright ya Jenya walikotoka, ba Rwanda, na Renamo, na Kosovo na Ukraine. Nao tuwape uraia wao?
 
Unataka kuniambia kuwa Tanzania population kubwa ya watanzania wanamiliki ardhi hivi sasa?
“I hereby declare, on oath, that I absolutely and entirely renounce and abjure all allegiance and fidelity to any foreign prince, potentate, state, or sovereignty, of whom or which I have heretofore been a subject or citizen; that I will support and defend the Constitution and laws of the United States of America against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I will bear arms on behalf of the United States when required by the law; that I will perform noncombatant service in the Armed Forces of the United States when required by the law; that I will perform work of national importance under civilian direction when required by the law; and that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; so help me God.”
 
Huwezi kuweka masharti. Kama wewe unataka kw na ardhi Rwanda au Mexico, NI LAZIMA ukubali nao wawe ba ardhi hapa. Sisi hatuwataki Rwanda (mfano) lakini wewe umechagua kuishi uko ili upate ardhi yao, hayo masgarti utakuwa u etuuza sisi wote. Hii inawafa wakimbizi wa SMZ 1964 au kina Lema kwenda Canada, wasituburuze. Wakitaja kuleta huku walete, niza ndugu zao wazazi waom hawawezi kutupa nasharti, kama hampebdi baba yaje gadi aoewe yraua vasi shauri yaje, snchukue baba taje waende Belgium.
 
Hayo mafisadi ya Ccm yanayoficha fedha huko Uswizi yana uraia pacha ?
 
Sijui kama niloijibu swali hili. La msingi ni kwamba kama uliukana uraia wa nchi yako, katika suala la haki za binadamu, hawapaswi kukunyanganya uraia. Lakini kuna mataifa yana kiburi hayajali hilo, watatengua uraia wako japo ulishaukana uraia wa nchi yako. Kuna watu wanajikuta wako "stateless" kutokana na jambo kama hili.

Sasa hapo inabidi tu usmamie kwenye technicalities, kwa sababu hawawezi kuku-deport - hakuna airline itakubali kubeba mtu kumpeleka nchi ambayo hana uraia. Na hakuna nchi itakubali kupokea mtu ambae hana uraia nayo. Inabidi ukomalie hapo.

Ila kama ni raia pacha, wataku-deport kwenda nchi ya uraia wako original. Kwa hiyo kwa mfano wako, ni afadhali uchukue uraia wa nchi ya pili na kuukama uraia wa nchi ya kwanza ili usije kuwa deported kwenda nchi yako ya kwanza.

Kumbuka hapa juzi Kenya ilim-deport Mkenya mwenye uraia wa Kenya na Canada kurudi Canada, japo Kenya ndio nchi ya uraia wake wa kwanza? Kosa lake lilikuwa kumwapisha Odinga kama raisi ule uchaguzi Kenyata alitangazwa mshindi dhidi ya Odinga. Ni juzi hapa Ruto kamrudishia passport ya Kenya na kutengua uamuzi wa kum-deport toka Kenya
 
Tanzania can have the same oath. So what? It hasn't stopped US citizens from having dual citizenship. Tena kuna raia wa Marekani wana uraia pacha na Urusi!
 
Unajua, swali lako wala sihitaji kulijibu, kwa sababu wewe unataka kutuambia kwamba hizi ncho zote zilizoruhusu uraia zimefanya hivyo kiupofu bila kutambua kwamba hakuna faida ya uraia pacha. Hebu angalia tena hii ramani na jiulize nini wanachoona wao ambacho sisi hatuoni?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…