Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

Hawa hapa wanaaminika?
 
Siku zenu zaja, utakuta hili ni li makamba!

Unaonekana una hasira Sana,lakin shida ni nin??huo ugum wa maisha hajauleta SAMIA,tatizo lenu wabongo ni wepes Sana wa kusahau,enz za mwendazake mlikua kila siku mnasaga meno kuwa vyuma vimekaza,nayeye akawa anawajibu shit kuwa muvipake oili vilainike,Mara anawajibu mfanye Kaz,kama msipofanya mfee Njaa,mmesahau Mara hii?
 
Uzanzibar
 
Dini imeharibu ubongo wako.

Dini yangu Mimi ni Uislam,

Na dini yako wewe ni ukristo,ukristo is what gives you peace of mind,enyoy your Christianity,Uislam wangu Mimi unakuumiza nini hadi ufikie hatua useme unaharibu ubongo wangu ndugu yangu??

It's a choice which I have made,let me die with my religion,wewe una dini yako na Mimi Nina dini yangu., sasa shida Nini.
 
Sasa hivi hali ikoje?

Vyuma vimelegea?

Kuna siku mtalipia hizi dhihaka.
 
Sasa hivi hali ikoje?

Vyuma vimelegea?

Kuna siku mtalipia hizi dhihaka.

My point is maisha siku zote hayajawahi kuwa marahisi,tokea zama na zama,

You need to man up to survive,enz ya Magufuli mlikua mnalia daily kuwa vyuma vimekaza,namm nakukumbusha kuwa hata kipind Cha Magufuli maisha yalikuwa MAGUM,so inabid ukaze buti,lawama usimpe Magufuli Wala Samia,maisha dunian hayatokaa yawe rahisi,tambua hilo
 
Hivi hakuna namna CCM wanaweza kuomba radhi Watanzania kwa hali tuliyopitia kipindi chote cha Jiwe, kuanzia kutudanganya kuhusu hiyo miradi mpaka kututwisha zigo la madeni ambalo wala hatukumtuma.
Ulichodanganywa ni kipi na kipi hukijui, JNHPP, SGR, madege yanayosumbua anga la Tanzania,Hospital kila wilaya au umeme vijijini.Leo hii hatusikii kuhusu umeme vijijini.
Hujaeleweka unalalamika nini au kuongezeka kwa mikopo ya wanafunzi vyuoni.Sema basi mbona kimya au ujenziwa fly over MUfugale na Kijazi?????????? Kumbe huna maana kabisa
 
Hakutaka Wananchi wake wanyonge wajue,alifanya Siri ibakie kwenye makaratasi huko huko BOT,ole wako utangaze kwenye magazine au vyombo vya habari ungekiona Cha mtema Kuni,hakujua kuwa hizo taarifa zitafahamika tuh,ndiyo unayoyaona leo hii
Mkuu mikopo yote ilitangazwa kwenye magazeti, issue ni sisi kufatilia
Nakuwekea hapa gazeti la mwananchi kipindi Cha Magufuli likiandika sisi kupewa mkopo wa ujenzi wa reli
 
Zaidi ya chuki kwa Magufuri sioni hoja yako nyingine!

Kinachonishangaza japo mmeshinda vita ila hamjiamini hata kidogo, shida nini?

Hii nchi bila nyinyi ingekua mbali sana.
 
Mkuu mikopo yote ilitangazwa kwenye magazeti, issue ni sisi kufatilia
Nakuwekea hapa gazeti la mwananchi kipindi Cha Magufuli likiandika sisi kupewa mkopo wa ujenzi wa reli
View attachment 2062599

Sawa,nipe na kipande kinachoonyesha takwimu ya kukua kwa deni la TAIFA hasa kwenye kipind Chake,chochote kile
 
mlerta mada ,inaonekana ww uko nje ya system ,na unaandika kwa mihemko plus chuki. B.O.T report zao ulikuwa unazifuatilia!!??, BOT hawakuwahi kutokutoa taarifa za deni la taifa, inshu ni kwamba wewe ndo hujui wapi taarifa fulani zinapatikana au Nani anayetoa hz taarifa. HALAFU KAMA UMETUMWA TUAMBIE, nchi hii si maskini hata kidogo,msianze kutukaririsha ushenzi,et nchi maskini!!, Nchi yenye fursa lukuki unaiitaje maskini!! We fa....laaaa nn, maziwa ,mito,madini ya kila namna yapo kibao,misitu na mapori makubwa yapo tz,wanyama kibao wapo,mapori ya uhifadhi yapo , uranium pia ipo tz ,wilaya ya bahi mkoa wa Dodoma yote imejaa uranium ile, na dhahabu kidogo ,Kuna reserve pia ya mawe ya kutengeneza saruji(cement hapa Dodoma na dangote tayar ameshafanya usanifu tayr kujenga kiwanda -hapo ni dododma tu ,je mikoa na maeneo mengine .NCHI HII NI TAJIRI sema viongozi ndo shida. Selfish...selfish plus ignorance of mind!!!
 
Zaidi ya chuki kwa Magufuri sioni hoja yako nyingine!

Kinachonishangaza japo mmeshinda vita ila hamjiamini hata kidogo, shida nini?

Hii nchi bila nyinyi ingekua mbali sana.

Kushinda vita gan,nchi hii mbona Kuna aman tuh tokea lin tumeingia vitan mkuu,

Hebu punguza hasira
 
Hivi umesoma hoja aliyoleta mtoa mada au umekurupuka tu?
 
Kuwapo kwa taarifa BOT ni jambo moja,na kauli za mtawala ni jambo lingine,

BOT Kuna taarifa za madeni,mtawala akawa anasema hakopi na anajenga kwa fedha za ndan,hapa tunadiscuss outcomes

 
'Shida hii tunaipata kutokana na sera za usiri za mwendazake' na bila kusahau tabia za kishetani za kinafiki za wasaidizi wake wote. Watu ambao walikuwa 'jikoni' na walijua na kushiriki kila hila za yule katili leo hii wanapata wapi ujasiri wa kutaka waonekane kana kwamba hawakuwa sehemu ya ushetani ule?! Ifike mahali kama taifa tuwazomee na kuwakataa watu wabinafsi ambao wako radhi taifa lididimie ila vibarua vyao viwe salama! Mheshimiwa Assad ni mfano bora wa watu wema kwa taifa hili.....siyo hao wezi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…