Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

Kinachowasumbua wapinzani wengi na wahuni wote ni chuki walionao dhidi ya Magufuli wanatafuta tuhuma za kumzushia kila kukicha
 
Kuwapo kwa taarifa BOT ni jambo moja,na kauli za mtawala ni jambo lingine,

BOT Kuna taarifa za madeni,mtawala akawa anasema hakopi na anajenga kwa fedha za ndan,hapa tunadiscuss outcomes
jiwe sio kwamba hakukopa, katka kipindi Cha miaka 5 ,alikopa jumla ya 29 trillion,na hangaya kwa miezi 9 amekopa trillion 11 Hadi Sasa,na hapo bado Kuna tozo . so far Kama wanakopa kwa matumiz sahh ya kujenga miradi it's ok,lkn speed ya kukopa kwa hangaya inatisha,Kama miez 9 tu 11T,je mpaka 2025 ,atakuwa kafika T ngapi,fanya hesabu mwenyewe,halafu compare na speed ya jiwe!!
 
Mbona unaandika mada nzito kama hii bila ushahidi? Kwani Magu anaposema tulijenga kwa pesa za ndani baadhi ya miradi ni uongo?

Mfano SGR from

Dar to Morogoro 300km $1.2bn ni pesa za ndani, also Mwanza to Isaka $1.5bn pesa za ndani.

Ununuzi wa ndege ni kweli ulikuwa ni cash basis na ni pesa za ndani kama unapinga leta ushahidi.

So, unapokuwa unaleta mada kama hii inatakiwa uwe unaweka na ushahidi ku support claim yako la sivyo utaonekana una chuki pia ni kituko.
 
Hakika,na aljua Sana kucheza na akili zetu,hakuna fyoko fyoko wa kuhoji,ajabu eti wapinzan nao wakamiminika kwenda kuunga mkono juhud za mwamba,

Ukweli upo waz sasa

Alicheza na akili za wajinga ila tulikuwa tunajua anakopa na kupika data, na hayo tuliyasema hata alipokuwa hai. Hao wapinzani ni wale dhaifu ambao kwao vyeo ilikuwa ni bora kuliko chochote. Wengi wa waliokuwa wanahoji walikutana na utawala wake wa mabavu, kuna waliouliwa, kupewa vilema vya maisha, kuhujumiwa shughuli zao za kuwaingizia kipato. Na wala sio kweli kuwa watu hawakuhoji. Sisi wengine na post zetu ziko humu humu ndani tukisema kuwa Magufuli alikuwa muongo, na mpika data.
 
Zaidi ya chuki kwa Magufuri sioni hoja yako nyingine!

Kinachonishangaza japo mmeshinda vita ila hamjiamini hata kidogo, shida nini?

Hii nchi bila nyinyi ingekua mbali sana.
Wameshinda vita gani hao nyumbu?
 
Anayefanya siri ni Lisu na ndoa yake na Amsterdam lakini mambo ya Tanzania huwa yako hadharani bungeni na kwenye magazeti
 

Una uhakika gani kuwa zilikuwa ni fedha za ndani, wakati deni la taifa limeongezeka kuliko wingi wa miradi iliyopo? Magufuli alikuwa ni roho la uharibifu, na alikuwa muongo wa kutupa toka akiwa waziri. Nakumbuka wakati anadanganya wananchi kuhusu idadi ya samaki, na mayai yao yaliyoko kwenye water bodies za Tanzania. Kibaya zaidi alitumia kiburi cha madaraka yake kulinda uongo wake, na kwakuwa wajinga ni wengi alifanikiwa kuwahadaa. Wajinga ndio sasa wamemshwa usingizini na kuanza kuujua ukweli.
 
Anayefanya siri ni Lisu na ndoa yake na Amsterdam lakini mambo ya Tanzania huwa yako hadharani bungeni na kwenye magazeti
Mtoa mada ndiye aliyeandika kuhusu 'sera za usiri' za aliyekuwa wakala wa ushetani bongolala.....mimi nimemjibu kuwa hakuwa yeye tu, hata wasaidizi wake wote walishiriki uovu ule. Hayo yenu ya kumuonea wivu huyo Lissu mimi hayanihusu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…