Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

Uko sahihi, wanaimba mapambio kuwa eti jiwe ameacha miradi mingi hawasemi ukweli kuwa miradi mingi mikubwa ya maana ilikuwa bado hata haijafikia 50% ya ukamilifu wake.

Miradi midogomidogo kama vile zahanati,viwanja vya ndege, nk mingi haifikishi hata 1b kwa kila mradi, fedha ambavyo hata mapato ya ndani pomoja na zile zilizokuwa zinachukuliwa kwa dhuruma zingetosha katika kazi hizi.
 
Hakutaka Wananchi wake wanyonge wajue,alifanya Siri ibakie kwenye makaratasi huko huko BOT,ole wako utangaze kwenye magazine au vyombo vya habari ungekiona Cha mtema Kuni,hakujua kuwa hizo taarifa zitafahamika tuh,ndiyo unayoyaona leo hii
Kwamba taarifa zikiwa kwenye websit ya BOT zimefichwa?

Siyo kwamba ni uwezo wako mdogo wa kutafiti mambo?
 
Mbona mna chuki Sana na iman yake kuliko utawala Wake??

Then ziko waz waz hata kuzificha kinafiki mnashindwa,jamaa hatukumuua sisi ni Mipango ya mungu naona hizo chuki siyo za kawaida aisee
Ona unayoumbuka. Wewe ni mdini uliyotukuka sawa na FaizaFoxy, Mohamed Said, gombesugu na @Khaatan. Huna credibilty ya kuzungumza chochote watu wakakichukulia kwa umakini maana wanakujua you're biased already.
 
Hayo magazeti na vyombo vya habari unavyosema walikuwa wakiripoti kwa namna Magufuli alivyotaka na haikuwa katika uchambuzi bayana wa "pronz & cornz " walifubaza uhalisia na waligeuza na kuripoti kama msaada wa masharti nafuu na kuwalisha Wananchi, aliyejitosa kuchambua uhalisia alikiona cha mtemakuni, we ulikuwa wapi?
 
Sio kweli magazeti yaliandika na kuonyesha wasiwasi wa deni kupanda zaidi.
Shida kubwa ya nyie wengi wenu ni wasahaulifu sana
Alivyokopa vyombo vya habari viliandika na pia bado waliandika kuonyesha deni linapanda
Chini nimekuwekea gazeti la mwananchi na walichambua vizuri tu ndani kilichokopwa na kwa nini Deni linapanda na majibu ya waziri
 
Asonge mbele kivipi yani wakati alishasema yeye na jiwe walikuwa kitu kimoja. Kumbuka kinyonga akijibalisha rangi hawezi kuwa kondoo hata siku moja bali ataendelea kuwa kinyonga.
 
Ona unayoumbuka. Wewe ni mdini uliyotukuka sawa na FaizaFoxy, Mohamed Said, gombesugu na @Khaatan. Huna credibilty ya kuzungumza chochote watu wakakichukulia kwa umakini maana wanakujua you're biased already.

Kwani hilo ni jambo la kushangaza Tena??

Mimi ni mdini hasa,kwenu nyinyi mtu akiwa muislam ni mdini ila akiwa mgalatia siyo mdini,sijui sasa anakuwa nan,mpagani au nan,...

Mimi ni mdini kweli Kweli,na dini yangu ni uislam,Kuna tatizo na hilo??au wewe unaumia nini Mimi nikiwa mdini,yes Mimi ni mdini, unasemaje sasa.
 
Asonge mbele kivipi yani wakati alishasema yeye na jiwe walikuwa kitu kimoja. Kumbuka kinyonga akijibalisha rangi hawezi kuwa kondoo hata siku moja bali ataendelea kuwa kinyonga.

wewe ukitaka aseme yeye na Magufuli hawakuwa kitu kimoja na hali alikuwa ni makamu wake??

Nchi haiongozwi kwa uongo na kuficha ficha mambo,nchi huongozwa kwa ukweli na uwaz
 
Basi hoja zako peleka Masjid zijadiliwe huko hapa jukwaani kuna watu wa imani tofauti. Robo ya michango tayari imegusia udini wako. Kwa vile umekiri wewe ni Mdini kindakindaki basi unafaa kujadili hoja zinazowahusu watu wa imani yako, na siyo Taifa.
 
Kwa maelezo yako hayo yalitosha kujenga hoja ya Mimi kustahili kuijibu,sasa suala la KUSEMA kuwa dini yangu inaharibu ubongo linakujaje??

Why attack on my faith??

Na kumkosoa au kumpongeza mtawala ni maamuz ya mtu,

Kama wewe unaona simkosoi Samia kwa ni muislam mwenzangu ni mtazamo wako na uku huru kuwa nao
 
Basi hoja zako peleka Masjid zijadiliwe huko hapa jukwaani kuna watu wa imani tofauti. Robo ya michango tayari imegusia udini wako. Kwa vile umekiri wewe ni Mdini kindakindaki basi unafaa kujadili hoja zinazowahusu watu wa imani yako, na siyo Taifa.

Wewe ndie unasema hivyo,hoja zangu nipeleke msiktin kwani kinachojadiliwa ni iman ya mtu au hoja??

Ingekuwa ni hivyo usingemchagua gwajima au rwakatare are mbunge,au msigwa kuwa mbunge eti kwa hoja kuwa ni mdini au askofu,sijaleta hoja ya dini hapa,iweje wewe uje kuiattack iman yangu na kunikimbizia hoja zangu niende zano msiktin,unaumia nin kwani umesjia JF ni kigango Cha kanisa
 
Hii

Hii ni taarifa ambavyo chanzo ni kutokea bungeni au kuelekea bungeni na tayari mikopo ilisha tekelezwa kuombwa na kutolewa na kutumiwa. Taarifa sahihi kwa wakati sahihi juuu ya mkopo wa serikali haikutolewa na hapo ndipo uchambuzi wenye manufaa unahitajika, sasa hapo tayari "dealdone".
 
Mkuu, hawez kuelewa

Amesahau kipind Cha Magufuli corona ilikua inaua kila kukicha na Magufuli akawa anapiga marufuku kutangaza kuwa nchi Ina corona na had barakoa akawa anapiga marufuku zisivaliwe kwenye vikao vyake,sijui wanajisahaulisha na nin hawa jamaa
 
Umandika kwa kujikanyaga, Soma tena vizuri ulichoandika.
Mwanzo ulisema hakuna aliyekuwa akizungumza Wala kuandika habari za deni, Mimi nimekusahihisha kuwa sio kweli na nimekuletea gazeti la kipindi hiko
 
Taarifa zilikua zinaandikwa kulingana na yeye anataka kiandikwe kitu gan,hata kureport kuwa nchi hii Ina corona ilikua ni issue ya kukuweka kwenye matatizo,Kwan ulikua hauishi nchi hii??
 
Exactly, kuna muimba mapambaio mmoja alikuwa anasifia vituo vya afya kwa idadi, nikamwambia asisifie idadi aangalie thamani. Tukakuta vingi ya vituo thamani yake ni 400m-1.5b, tena vingi vilikuwa havijakamilika. Kwa zile sifa alizokuwa anamwaga ungeweza kusema ni miradi ya 5t iliyokamalika. Alipoamua kutumia akili yake naona mpaka leo hasifii tena kihivyo, kwani alijua propaganda ilikuwa kubwa kuliko thamani halisi.
 
Umandika kwa kujikanyaga, Soma tena vizuri ulichoandika.
Mwanzo ulisema hakuna aliyekuwa akizungumza Wala kuandika habari za deni, Mimi nimekusahihisha kuwa sio kweli na nimekuletea gazeti la kipindi hiko
Nilisema kuwa (kwa maana hii) hakuna mtu ambaye kwa utashi wake angeliweza kwenda bot na kupewa taarifa za deni/ mkopo wa nchi halafu akaandika na watu wakajadili kwa mitazamo guru, bali walisubiri ama Rais aongee kwanza au amtume mteule ndipo waandishi waliweza kudakia juu tena kwa tahadhari kubwa na si kama alivyofanya Mr Balile siku chache zilizopita. Hapo utakuwa umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…