Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
GPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.Km una mtu kitengo mwenye uwezo wa kukuweka GPA is nothing Cheti chako ndio muhimu wanachofanya ni kuthibitisha tu ulisoma kozi fulani na wewe ni mtoto wa mkubwa fulani tu basi, GPA haiwahusu hata ukiwa na GPA ya 2.0
Hebu tupe mifano ya hizo nchi zenye capitalism na individualismChangamoto imeanzia kwenye mfumo wetu wa maisha katika ngazi ya familia/ukoo kutokana na mambo ya kiujamaa. Utasikia jamaa zako wanakusimanga kuwa umepata nafasi mahala flani ila huna msaada wowote kwa ndugu zako kwa kushindwa kuwashika mkono kupitia nafasi uliyonayo.
Siku tukiacha ku-embrace huu mfumo(jambo ambalo si rahisi kwa hivi karibuni), ndio mambo yatanyooka kama ilivyo nchi za wenzetu dunia ya kwanza.
Wenzetu wana embrace mfumo wa capitalism ambao una Individualism ndani yake. Hakuna ncha ndugu wala cha sijui mtoto wangu nimuweke mahala. Yaani mtoto akishazaliwa akifikisha miaka 18 anatakiwa kujitegemea maisha yake kwa kila jambo. Support ipo ila kidogo sana.
Hivi UDSM wanampokea mtu alietoka CBE au IFM na GPA ya 2.0?GPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.
Mfano mtu aliyesoma IFM au CBE hata akiwa na 2.0 atachukuliwa tofauti na aliyesoma SAUT - Kigoma Campus, sababu wa IFM atakuwa na exposure kubwa zaidi.
Kwahiyo kwenye kuchagua chuonapo ni muhimu sana, exposure aliyonayo mwanachuo wa Dar es Salaam ni kubwa kuliko wa mkoani.
Akioloji nilishtuka nikaikacha mapema kwenye dirisha la kubadili koziKuliko kusoma hizi kozi bora kuuza chai stendi ya magu
Agronomy
Bachelor of laboratory science
Crop production and management
Sosholoji
Akiology
Na ndio ilivyo , serikali wanatoa ajira za ngazi za chini watu wa certificate na diploma , cheap labour policyWanataka watu wasome ngazi ya technician certificate tu nta level 5? Hii nchi inapoelekea sio
Uliwahi kuugua kichaa mkuu?GPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.
Mfano mtu aliyesoma IFM au CBE hata akiwa na 2.0 atachukuliwa tofauti na aliyesoma SAUT - Kigoma Campus, sababu wa IFM atakuwa na exposure kubwa zaidi.
Kwahiyo kwenye kuchagua chuonapo ni muhimu sana, exposure aliyonayo mwanachuo wa Dar es Salaam ni kubwa kuliko wa mkoani.
Naunga hoja yako maana kuna Taasisi nyingine wanaangalia chuo alichosoma job seekerGPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.
Mfano mtu aliyesoma IFM au CBE hata akiwa na 2.0 atachukuliwa tofauti na aliyesoma SAUT - Kigoma Campus, sababu wa IFM atakuwa na exposure kubwa zaidi.
Kwahiyo kwenye kuchagua chuonapo ni muhimu sana, exposure aliyonayo mwanachuo wa Dar es Salaam ni kubwa kuliko wa mkoani.
Kama kilimo SUA ila hata UDSM kuna course za kilimo..Naunga hoja yako maana kuna Taasisi nyingine wanaangalia chuo alichosoma job seeker
Yes hii ni POINT🔥achana na kozi za kusoma chuoni, ninyi ni useless kikubwa kitafuta scalable skills
Hapo namba 5 either una bifu nao au ulishindwa kujiunga?KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOGY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
Civil Engineering wengi wako mtaani tena wana idadi almost na walimuHapo namba 5 either una bifu nao au ulishindwa kujiunga?
Nimesoma hapo aliposema Engineering nikacheka moyoni tu....Engineering!!!! Seriously? Anyways ni maoni ya mleta madaEngineering, kuwa specific engineering gani
Hayo yoote uliyotaja haihitaji kwenda chuo kuyasomeaYes hii ni POINT🔥
Soma mambo haya upate pesa:
1.udereva
2.fundi printer na makopyuta maintainance
3.photography
4.graphic designing
INSTEAD OF KUPOTEZA CHUO NASHAURI WADOGO ZANGU WASOME VITU HIVI KAMA ONLINE AU TUITION CENTER BUT HIVI VITU NI VIZURI UTAJIAJIRIHayo yoote uliyotaja haihitaji kwenda chuo kuyasomea
Silaumu kozi mkuu shida ni mfumo wa elimu umegeuka badala ya kuwa pyramid umekuwa box yaani wanaoanza ni wengi na wanaomaliza pia ni wengi.INSTEAD OF KUPOTEZA CHUO NASHAURI WADOGO ZANGU WASOME VITU HIVI KAMA ONLINE AU TUITION CENTER BUT HIVI VITU NI VIZURI UTAJIAJIRI
Ila watanzania tuna shida,eti baadhi ya vyuo,halafu udom.Kuna baadhi ya vyuo ukisoma kupata kazi napo pagumu
1:Magogoni, TIA,tumaini,Mwl nyerere,udom, morogoro mum
TIA wahasibu na wagavi, magogoni secretary na record Management wakose kazi kweli inategemea ukienda huko ukasomee fani gani.Ila watanzania tuna shida,eti baadhi ya vyuo,halafu udom.
Nisaidie kujua udom ina tatizo gani mpaka kufikia kuiandika hivi?
Clinical officer sio Clinic officer.Nmekosea apo nlimaanisha Clinic officer:Clinic officers wengi wako mtaani i thought kozi za science hamna anaekaa mtqani kumbe i was wrong
Sjajua umesoma umesoma koz gani chuo na umehitimu mwaka gani Chuo ila binafsi nikisikia mtu kahitimu kozi yeyote ya IT udom ananishawishi hata kama hayupo ninavyotaka najua naweza kumtengeneza....in short I can dare to say as long as ICT is considered in this country udom is currently number one!Kuna baadhi ya vyuo ukisoma kupata kazi napo pagumu
1:Magogoni, TIA,tumaini,Mwl nyerere,udom, morogoro mum