Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
GPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.Km una mtu kitengo mwenye uwezo wa kukuweka GPA is nothing Cheti chako ndio muhimu wanachofanya ni kuthibitisha tu ulisoma kozi fulani na wewe ni mtoto wa mkubwa fulani tu basi, GPA haiwahusu hata ukiwa na GPA ya 2.0
Mfano mtu aliyesoma IFM au CBE hata akiwa na 2.0 atachukuliwa tofauti na aliyesoma SAUT - Kigoma Campus, sababu wa IFM atakuwa na exposure kubwa zaidi.
Kwahiyo kwenye kuchagua chuonapo ni muhimu sana, exposure aliyonayo mwanachuo wa Dar es Salaam ni kubwa kuliko wa mkoani.