Usisiome kozi hizi..!

Usisiome kozi hizi..!

Km una mtu kitengo mwenye uwezo wa kukuweka GPA is nothing Cheti chako ndio muhimu wanachofanya ni kuthibitisha tu ulisoma kozi fulani na wewe ni mtoto wa mkubwa fulani tu basi, GPA haiwahusu hata ukiwa na GPA ya 2.0
GPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.

Mfano mtu aliyesoma IFM au CBE hata akiwa na 2.0 atachukuliwa tofauti na aliyesoma SAUT - Kigoma Campus, sababu wa IFM atakuwa na exposure kubwa zaidi.

Kwahiyo kwenye kuchagua chuonapo ni muhimu sana, exposure aliyonayo mwanachuo wa Dar es Salaam ni kubwa kuliko wa mkoani.
 
Changamoto imeanzia kwenye mfumo wetu wa maisha katika ngazi ya familia/ukoo kutokana na mambo ya kiujamaa. Utasikia jamaa zako wanakusimanga kuwa umepata nafasi mahala flani ila huna msaada wowote kwa ndugu zako kwa kushindwa kuwashika mkono kupitia nafasi uliyonayo.

Siku tukiacha ku-embrace huu mfumo(jambo ambalo si rahisi kwa hivi karibuni), ndio mambo yatanyooka kama ilivyo nchi za wenzetu dunia ya kwanza.

Wenzetu wana embrace mfumo wa capitalism ambao una Individualism ndani yake. Hakuna ncha ndugu wala cha sijui mtoto wangu nimuweke mahala. Yaani mtoto akishazaliwa akifikisha miaka 18 anatakiwa kujitegemea maisha yake kwa kila jambo. Support ipo ila kidogo sana.
Hebu tupe mifano ya hizo nchi zenye capitalism na individualism
 
GPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.

Mfano mtu aliyesoma IFM au CBE hata akiwa na 2.0 atachukuliwa tofauti na aliyesoma SAUT - Kigoma Campus, sababu wa IFM atakuwa na exposure kubwa zaidi.

Kwahiyo kwenye kuchagua chuonapo ni muhimu sana, exposure aliyonayo mwanachuo wa Dar es Salaam ni kubwa kuliko wa mkoani.
Hivi UDSM wanampokea mtu alietoka CBE au IFM na GPA ya 2.0?

Km hawampokei basi jiulize tena mara ya pili,
 
GPA ni za ma academician tu, field zingine wanaangalia umesoma chuo kilichopo mjini au mkoani ndani ndani huko.

Mfano mtu aliyesoma IFM au CBE hata akiwa na 2.0 atachukuliwa tofauti na aliyesoma SAUT - Kigoma Campus, sababu wa IFM atakuwa na exposure kubwa zaidi.

Kwahiyo kwenye kuchagua chuonapo ni muhimu sana, exposure aliyonayo mwanachuo wa Dar es Salaam ni kubwa kuliko wa mkoani.
Uliwahi kuugua kichaa mkuu?
 
Naunga hoja yako maana kuna Taasisi nyingine wanaangalia chuo alichosoma job seeker
 
KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOGY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT

WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
Hapo namba 5 either una bifu nao au ulishindwa kujiunga?
 
Vile vile DUNIA I AELEKEA KWENYE TEKNOLOJIA KUBWA ZAIDI MAMBO YOTE YATAKUA YANAFANYIKA ONLINE KWAHIYO UKIJUA NA MASWALA YA COMPUYUTA UTAPIGA PESA SANA BAADAE NA HATA SASA
 
INSTEAD OF KUPOTEZA CHUO NASHAURI WADOGO ZANGU WASOME VITU HIVI KAMA ONLINE AU TUITION CENTER BUT HIVI VITU NI VIZURI UTAJIAJIRI
Silaumu kozi mkuu shida ni mfumo wa elimu umegeuka badala ya kuwa pyramid umekuwa box yaani wanaoanza ni wengi na wanaomaliza pia ni wengi.

Hiyo siyo shida pekee mbaya zaidi ni watoto now days wanapita tu yani ajue asijue anapita tu sasa hapa tunaandaa nini huko mbeleni?
 
Kuna baadhi ya vyuo ukisoma kupata kazi napo pagumu
1:Magogoni, TIA,tumaini,Mwl nyerere,udom, morogoro mum
Sjajua umesoma umesoma koz gani chuo na umehitimu mwaka gani Chuo ila binafsi nikisikia mtu kahitimu kozi yeyote ya IT udom ananishawishi hata kama hayupo ninavyotaka najua naweza kumtengeneza....in short I can dare to say as long as ICT is considered in this country udom is currently number one!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom