Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Mungu na atubainishie mhitaji wa kweli na yule anayekuja kwa njia ya Ibilisi yule muovu.Sio kumpa tu chakula na tumwombee pia kwa Mungu maana hali wanazopitia ni ngumu.
Mungu tupe roho ya UTU kwa watu wenye uhitaji.