Iyerdoi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 2,717 Reaction score 3,895 Aug 1, 2024 #61 Guardiola said: Sio kumpa tu chakula na tumwombee pia kwa Mungu maana hali wanazopitia ni ngumu. Mungu tupe roho ya UTU kwa watu wenye uhitaji. Click to expand... Mungu na atubainishie mhitaji wa kweli na yule anayekuja kwa njia ya Ibilisi yule muovu.
Guardiola said: Sio kumpa tu chakula na tumwombee pia kwa Mungu maana hali wanazopitia ni ngumu. Mungu tupe roho ya UTU kwa watu wenye uhitaji. Click to expand... Mungu na atubainishie mhitaji wa kweli na yule anayekuja kwa njia ya Ibilisi yule muovu.
King Jody JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 1,834 Reaction score 3,456 Aug 2, 2024 Thread starter #62 Mungu atujalie moyo wa kuwasaidia wasio na uwezo