LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Pesa huwa hazitafutwi zipo, hufanyiwa miundombinu ya kuja zenyeweTafuta pesa mkuu utapunguza manung'uniko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa huwa hazitafutwi zipo, hufanyiwa miundombinu ya kuja zenyeweTafuta pesa mkuu utapunguza manung'uniko
Nashukuru ujumbe umeupata mengine madoidopesa huwa hazitafutwi zipo, hufanyiwa miundombinu ya kuja zenyewe
Povu la nini, unamiliki hizo shule?Nashukuru ujumbe umeupata mengine madoido
Umeeleza vema Sana. Connection ndio itamsaidia mtoto baadaye atakapomaliza masomo ni rahisi kupeana mipango na watoto wa wakubwa Kama viongozi kwenye taasisi au matajiri Kuna desturi siku hizi hata watoto wakiwa marafiki wazazi mnafahamiana na kupeana mawazo ya hapa na pale Sasa piga picha shule zile za chini mtoto wa muuza genge na mtoto wa fundi carpenter unategemea hao wakisoma watapata connection nzurikule anakutana na watoto wa matajiri,wanasiasa na wa viongozi mbali mbali anapata future connections.Akisoma Kayumba kama mimi baba ake anakutana na kina Siyawezi,Avinitishi,Mwajuma ndala ndefu,mtoto wa mama Mudy muuza Kangala,Mtoto wa mzee Juma muuza genge etc.....Sijutii kumpeleka mtoto wangu shule nzuri na zenye garama. Kama wewe kipato kidogo sawa mpeleke unapoweza ila usishauri wengine kufuata unavyofikiria.Huu ni Umaskini ndo unaokusumbuwa na kukufanya uone hii ni sawa mtoto kwenda na fagio na dumu la maji shule
Na wale ma houseboy na ma housegirl wanafanya nini hapo home! Maana mzazi anayeweza kulipa ada million 6 au zaidi lazma kwake utakuta kuna ist ya kufuata watoto shule na dereva maalum.Kufagia anajifunza nyumbani haya huko kulima shule za mjini anaenda kulima wapi?
Hili mie nimeshuhudia pia, mtoto anaeishi Oysterbay na Masaki hawezi kumaliza shule vizuri akaishia kuwa sangarai😅Umeeleza vema Sana. Connection ndio itamsaidia mtoto baadaye atakapomaliza masomo ni rahisi kupeana mipango na watoto wa wakubwa Kama viongozi kwenye taasisi au matajiri Kuna desturi siku hizi hata watoto wakiwa marafiki wazazi mnafahamiana na kupeana mawazo ya hapa na pale Sasa piga picha shule zile za chini mtoto wa muuza genge na mtoto wa fundi carpenter unategemea hao wakisoma watapata connection nzuri
Pumzika basi mkuuPovu la nini, unamiliki hizo shule?
Kanyela mumo tutapata tabu Sana Mimi napenda tu niwe na watoto wenye elimu zao, Mara eng. njoo tutete, Dr vp unakuja lini? Mara pilot nisindikize mjini hii ni very prestigious kwangu nitajua Cha kuwapa baada ya kumaliza vyuo maana nami mbishi nitapenye tu kaa na watu uvae viatuHili mie nimeshuhudia pia, mtoto anaeishi Oysterbay na Masaki hawezi kumaliza shule vizuri akaishia kuwa sangarai😅
Majirani wa mule tu unakuta balozi, waziri flani, Kanali, Mfanyabiashara mkubwa, Mkurugenzi wa shirika.
Sasa imagine majirani wenu ndio hao na hata wewe mzee ndio unakunywa nao bia means na wewe lazma uwe vizuri.
Connection za huko ni za uhakika kama baba umechangamka ni zile za kamlete tu😅
Hahahahah lazma utakuwa ni muhaya 😅 mzee kiyaruziKanyela mumo tutapata tabu Sana Mimi napenda tu niwe na watoto wenye elimu zao, Mara eng. njoo tutete, Dr vp unakuja lini? Mara pilot nisindikize mjini hii ni very prestigious kwangu nitajua Cha kuwapa baada ya kumaliza vyuo maana nami mbishi nitapenye tu kaa na watu uvae viatu
Hata tv Sasa hivi zina eneo la kuweka parental control sababu wanajua Kuna eneo mzazi anatakiwa kuwajibika sio aachiebto TV ifanye kaziNa play station atachezea muda gn?
Tafuta hela wewe uache kuteseka.
Hapana,tutafute hela ili tupunguze kujieleza..!!!Tafuta hela wewe uache kuteseka.
Na play station atachezea muda gn?
Sawa mkuuUnamuacha acheze PlayStation siku zote wewe baba/ mama mmekufa? Ps , cartoon ni week ends only
Mpeleke shuke la governmenr za serikali.Dogo wangu anatakiwa aanze darasa la Kwanza Kuna Uzi humu ulini inspire Sana kumpeleka kwa while za jamuhuri ya muungano, halafu ile hela badala ya kulipia ada mamilion nimfanyie investment
Tatizo dogo kasoma nursery, amkwiva balaa maana yake anamudu kila kitu cha darasa la Kwanza la pili na la tatu, kumpeleka government maana yake inabidi asitishe maendeleo ya ubongo kwa miaka mitatu huku akipambana ku cop na kiswahili na kusahau kila kitu kuhusu kiingereza ambacho atakutana nacho maisha yake yote ya elimu baada ya elimu ya msingi
Pia mazingira ni hafifu mno nikajisemea tu potelea pote na hustle Sana ili watoto wangu wasipitie changamoto nilizopitiaga
Home schoiling sio nzuri kiukweli, inamfanya mtoto awe socially awkard asipoyajua maisba halisi ya kuchangamana na wenzake.Hivi kuna watu wanafanya homeschooling hapa Tz?