Nimetoa mfano hapo nje ya dhana, nmejaribu kuhusisha hiyo dhana ya kulazimisha watu technically na nkakuuliza swali.'Uhuru wa kuchagua Ni wako Ila matokeo baada ya machaguo yako si yako Tena' MUNGU anakupenda
Kama vitu ni vilevile, ushawaza kuwa ni kwamba biashara yako imekuwa stable au wateja wameanza kukuamini tu kwasababu umeweza kufanya biashara muda mrefu kwenye eneo hilo kwa kutoa huduma nzuri.usimamiz ni ule ule,mbinu ni zile zile , customer care ni ile ile na bei ile ile pamoja na location...
Mamb ya kibali ni real,sema ni ngumu kumweleza mtu akaelewa kama vile kumweleza mtu uchaw unavyofanya kazi..
Yani Mungu aweke machaguo mawili yeye mwenyewe ya "wema na ubaya"Anakupa machaguo ukiwa hapa duniani ukifa hakuna machaguo Tena matendo yako ndio yatakuchagulia uende wapi. Chagua vyema ndugu MUNGU anakupenda
Wewe ndio ambaye huelewi.Hutaki kuelewa wataka kubishana ndo tatizo lilipo hata nkikwambia maneno gani Kama unabishana huwezi elewa. 'MUNGU ANAKUPENDA'
Aliweka hayo mabaya ili iwe nini? Maana aliniumba mnyoofu, kisha akaniweka mahali ambako ameweka mabaya na mazuri, LENGO LAKE NINI?Anakuumbq mnyoofu anakupa uhuri uchague mwenyew mema au mabaya lakini baada ya hapo huchagui matokeo ya machaguo yako, matendo yako ndio yanakuchagulia.. MUNGU anakupenda
Nafiki hata angekuwepo asingehitaji chochote kutoka kwetuHuyo Mungu kwanini mpaka aombwe?
Ajitahidi kujificha huko kwenye maombi, maana in dhaifu sana. Akijitokeza uraiani atatia aibu.Ni kanuni: hakuna HAKI pasipo WAJIBU!
pia huwa ni raha sana kumuomba Baba wa mbinguni. Kwenye maombi ndipo tunaungana na Mungu wetu, ndilo eneo rasmi la kupiga stori na Mungu Baba yetu.
very awesome!
YESU NI BWANA & MWOKOZI
Hakika, maana Sharti lolote kwa viumbe wake ndio lingekuwa Udhaifu wake.Nafiki hata angekuwepo asingehitaji chochote kutoka kwetu
Utupa kwa wakati tunaouhitaji thus ulikua huna kabla ukapata ukubwaniUnataka kusema Mungu mjuzi wa yote hajui mahitaji yetu pasipo kumuomba!?
Hawa wanaabudu wasichokijua wanahisi tu na kutengeneza picha kichwani , yakitu ambacho hawakijui ,chanzo cha uumbaji kipo wala haifai kukipa personality ya aina yoyote kwa sababu kufanya hivyo kutakufumba macho kutokutambua ata ww ni sehemu ya chanzo.Hakika, maana Sharti lolote kwa viumbe wake ndio lingekuwa Udhaifu wake.
Ndio maana huwa nawaambia hawa watu wa Dini, kama Mungu yupo kweli, basi wanadini ndio wanaoongoza KUMKUFURU, kwa kumuhusianisha na sifa za kibinadamu zenye Mapungufu ya Uwili.
Anapenda, ana wivu, anahisi, anapanga, anajaribu, anahoji, anaketi, anajuta, anawaza, anajadili, anaboresha, nk... Huyo ni Mimi hakika.
Kama alikua tajiri akawa amefilisikaMaswala ya utajiri anaepaswa kusikilizwa ni tajiri , sisi apeche alolo tunapiga blabla nyingi kuhusu utajiri , nilisha kataa kabsa maskini kunifundisha namna yakua tajiri.
π€π€π€π€π€π€π€Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo.
Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu.
Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi.
Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na Ibrahimu.
Ukipewa kibali unaweza kupita katikati ya maadui na wasikufanye chochote kama Yakobo.
Ukipewa kibali unaweza kuwa houseboy mwenye influence kuliko baba Mwenye nyumba. Diwani mwenye ushawishi kuliko Rais kama Yusufu.
Katika maombi yako usisahau kuomba kibali kutoka kwa Mungu.
Lakini Mwanadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu thus kabeba baadhi ya sifa hizoHakika, maana Sharti lolote kwa viumbe wake ndio lingekuwa Udhaifu wake.
Ndio maana huwa nawaambia hawa watu wa Dini, kama Mungu yupo kweli, basi wanadini ndio wanaoongoza KUMKUFURU, kwa kumuhusianisha na sifa za kibinadamu zenye Mapungufu ya Uwili.
Anapenda, ana wivu, anahisi, anapanga, anajaribu, anahoji, anaketi, anajuta, anawaza, anajadili, anaboresha, nk... Huyo ni Mimi hakika.
Kama mwanadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu na kubeba sifa za Mungu,Lakini Mwanadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu thus kabeba baadhi ya sifa hizo
Hakuna tajiri anafilisika kwa sababu utajiri unaanzia kwenye fikra ,ukiona mtu amefilisika jua alijifanya kuwa tajiri ila ndani alikua maskini , utajiri unaojegwa kwanzia ndani haufilisiki . ni sawa na makaburi yamepakwa rangi kwa njee ila ndani ni mifupa.Kama alikua tajiri akawa amefilisika
Aliweka hayo mabaya ili iwe nini? Maana aliniumba mnyoofu, kisha akaniweka mahali ambako ameweka mabaya na mazuri, LENGO LAKE NINI?
Swadakta kabisa Mkuu!Hawa wanaabudu wasichokijua wanahisi tu na kutengeneza picha kichwani , yakitu ambacho hawakijui ,chanzo cha uumbaji kipo wala haifai kukipa personality ya aina yoyote kwa sababu kufanya hivyo kutakufumba macho kutokutambua ata ww ni sehemu ya chanzo.
Hapa umetamka kuwa BINADAMU NI DHAIFU NA MWENYE MAPUNGUFU SAWA NA MAPUNGUFU, KASORO NA UDHAIFU WA MUNGU WAKE.Lakini Mwanadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu thus kabeba baadhi ya sifa hizo