Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Huo ni uchaguzi wa amani?Halazimishi ufanye kitu flani, ndiomana kakupa utashi uchague wewe mema au mabaya.
Huoni kama ni kulazimishana tu. Ili hali unasema sio kulazimishana.
Ni sawa na Wewe umtongoze mwanamke then umwambie kuwa
"unauhuru wa kuchagua kunikubalia ama kunikatalia, lakini usiponikubali mimi ntakuua kwa kukuchoma moto"
Hapo huoni technically umeforce mambo haijalishi ulisema anauhuru wa kukuchagua ama kukukatalia!?