a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Si
Hoja ya mwenye mamlaka kuamua ni batili, na HAYUPO. Hesabu zako kulinganisha na unavyohusiana na unaohusiana nao au navyo, ndio Kiamuacho nini Kitokee na Nini Kisitokee.
Je, ninaweza kutenganisha kichwa cha mbuzi na mwili wake(kumchinja) na bado akaendelea kuwa hai kwa kuwa mwenye mamlaka unayemdai hajaamua mbuzi afe?'MUNGU amemfanya mwadamu mnyoofu lakini wamebuni mavumbuzi mengi'
Unafanya jitihadi za kuutunza lakini huna mamlaka ya kujiwekea ama kuuondoa uhai.. kabla sijaendlea ningependa kujua Kama unaamini MUNGU yupo au la?
Hoja ya mwenye mamlaka kuamua ni batili, na HAYUPO. Hesabu zako kulinganisha na unavyohusiana na unaohusiana nao au navyo, ndio Kiamuacho nini Kitokee na Nini Kisitokee.