Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kama ni hivyo basi nimeisha watafutia wananguRoho za umimi hizi. Tafuta mali vizazi vyako vije viishi vizuri. Hapa ndipo wanapotushindia wazungu
Mpaka wa miaka 10 ana nyumba yake tayari ila itakuwa yake mda ukifika
Na hajui ila ipo kwenye WILL
Ila ukweli utabaki pale pale ntaondoka mimi kama mimi hayo yanayobaki hayahesabiki kama yangu tena
Hata uwe mfalme ila utaondoka masikini tu na mali zako watabaki nazo wengine
Hili la kuondoka mtupu ni lazima halina mjadala au ni mawazo ya umimi
By the way niko kwa wazungu na hawaachiani mali kama hujazitolea jasho
Usiwasifie niko nao miaka 35 leo