Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Mleta maada anasema kweli nyie mnaopinga na kuhoji sijui Mungu hayupo sijui kwann hadi aombwe..kaaa mkijua kibali ni halisi..
BInafsi nje ya biashara ya mikopo wife nimemwajiri kwenye duka la nguo za kike za ndani kama msimamiz mkuu...
Awali tulikua na mauzo madogo sana hadi nilipojua hyo Siri sio bidiii inayofanikisha jambo but bidii plus kibali..kibali kinafanya mamb kuwa simple sana na ni ngumu kumweleza mtu akaelewa coz unaweza fikiri ni uchaw flani..
In short mauzo uko yaliboost na yapo high sana wapinzan wanahangaika kujua wife anatumia uganga Gani...
Mnaobisha endeleeni na ubish wenu na kutegemea nguvu na akili zenu but am warning you guys msije ingia kwenye lain zangu ktk biashara mtafunga zenu asubuh tuuu...
Huwezi shindana na Mtu mwenye kibali never!!!
Mtu mwenye kibali ni sawa na Mtu anayepandisha ghorofan Kwa kutumia lift while wewe huna kibali unatumia ngazi..lazma ifike umechoka na umechelewa