Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea,watu huwa tunaombea matokeo badala ya kuombea mifumo inayoleta matokeoKitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo.
Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu.
Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi.
Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na Ibrahimu.
Ukipewa kibali unaweza kupita katikati ya maadui na wasikufanye chochote kama Yakobo.
Ukipewa kibali unaweza kuwa houseboy mwenye influence kuliko baba Mwenye nyumba. Diwani mwenye ushawishi kuliko Rais kama Yusufu.
Katika maombi yako usisahau kuomba kibali kutoka kwa Mungu.
Mtoto wako asipoomba utampa?,kuomba ni kuonesha unyenyekevuHuyo Mungu kwanini mpaka aombwe?
Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo.
Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu.
Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi.
Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na Ibrahimu.
Ukipewa kibali unaweza kupita katikati ya maadui na wasikufanye chochote kama Yakobo.
Ukipewa kibali unaweza kuwa houseboy mwenye influence kuliko baba Mwenye nyumba. Diwani mwenye ushawishi kuliko Rais kama Yusufu.
Katika maombi yako usisahau kuomba kibali kutoka kwa Mungu.
Umeingiza upumbavu wako kwenye mada nzuriSio ukweli.
Bali ni imani na mtazamo wako tu.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, ukweli hauendani na imani.
Ukweli unaendana na kujua, uthibitisho, proofs, evidences na logic.
Hizo ni imani zenu tu, Za kusadikika na kufikirika, Imaginations just an illusion.
Jenga hoja kuonesha uwepo wa huyo Mungu.
Nikiyajua mahitaji yao siwezi kusubiri waombe. Yale nisiyoyajua nitasubiri waombe.Un
Una watoto? Kama unao hua hawakuombi mahitaji yao?
Amejificha wapi? Anamuogopa nani?Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa...
Mungu anataka umtafute yeye kwanza alafu ukishamjua...
Mengine atakupatia...
Kama hauhitaji je,Maisha si zaidi ya kula na kunywa mengine ni ziadaHuyo Mungu kwanini mpaka aombwe?
Wakati mwingine upewi kwa faida yakoChangamoto n pale unapoomba miaka na miaka na hupewi…nafkir kanuni za maisha ziko wazi
Baba mwenye watoto na familia, Je hajui mahitaji ya watoto wake hadi aombwe?Mtoto wako asipoomba utampa?,kuomba ni kuonesha unyenyekevu
Kwani unayajua mahitaji yote ya wanao hata wasiyokuombaJe Mungu hajui mahitaji yako?
Wewe kama Baba, Huwa si lazima unajua mtoto wako na familia yako inahitaji chakula, malazi na makazi?
Kwani ni mpaka mwanao aku kumbushe na kukwambia " Baba tunahitaji kula" ndio ununue chakula?
Ninyi huwa mnasema kwamba, Mungu ni mwenye kujua yote ,na Mungu ni muweza wa yote.
Sasa naku uliza hivi [emoji116]
Mungu mwenye kujua yote, Je hajui mahitaji yako unayo yahitaji mpaka umuombe wewe?
Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu, Kama ufalme wa mbinguni ndio una paswa kutafutwa?Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa...
Mungu anataka umtafute yeye kwanza alafu ukishamjua...
Mengine atakupatia...
Sio lazima upewe kwa faida yako wakati mwingine pia Mungu ufanya kazi kwa utaratibu wake umpa mtu kwa wakati.Pia alazimishwi na mwanadamu.Baba mwenye watoto na familia, Je hajui mahitaji ya watoto wake hadi aombwe?
Kwamba chakula kiki isha ndani, Mpaka mtoto amwombe chakula?
Wewe kama Baba hujui wajibu wako wa kutimiza mahitaji kwa mwanao?
Je Mungu hajui mahitaji ya wanadamu mpaka akumbushwe na aombwe?
Mungu muumbaji wa wanadamu kama mnavyo dai, Anashindwaje kujua mahitaji ya binadamu mpaka aombwe?
Na ukiisha tafuta sana ufalme wake, na neno lake likiisabpanda mbegu moyoni automatic unaanza kuona yanini kusumbukia mali? Unaanza kuona fedha na dhahabu ni vyake lakini yote ya duniani ni ubatili mtupu kama alivyosema tajiri Seleman. Kisha unaanza kuona yanini , unajisemea ntaweka hazina mbinguni tu ambako hamna wezi wala kutu sio duniani. hahaha Mungu Fundi aiseeeeUtafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa...
Mungu anataka umtafute yeye kwanza alafu ukishamjua...
Mengine atakupatia...
Kwa vile mimi ni mwanadamu sifahamu mahitaji yote, Mpaka mtoto ani ambie mahitaji yake.Kwani unayajua mahitaji yote ya wanao hata wasiyokuomba