Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

JEJUTz

Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
75
Reaction score
197
Hili limenitokea jana tu!

Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.

Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.

Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha nikamchukulia bidhaa kadhaa kwa bill yangu.

Hapo mfukoni sina cash nina credit card na pesa nyingine ipo kwenye simu.Ukafika wakati wa kulipa ili niondoke.

Nikatoa card yangu nikaswap ikagoma nikarudia mara nyingi bila mafanikio.Nikaomba nilipe kwa simu pia sikufanikiwa nadhani kulikuwa na shida ya mtandao.

Ikabidi niache vitu vyangu pale na kwenda Atm iliyo karibu nikafanikiwa kutoa pesa kisha nikaenda kulipa bill kwa cash.

Ili kuepuka usumbufu na kuokoa muda,uwe safarini au kwenye mizunguko yako ya kawaida jitahidi uwe pesa cash mfukoni itakusaidia sana

Ms Jeju
 
Hili limenitokea jana tu !

Hatukujiandaa kuipokea teknolojia, tunaishi nayo ilimradi liende tu.
 
Kweli kabisa. Kwani nchi za jirani tu hapa wao wanahimiza watu kutumia card au momo kwa maana ya mobile money, hata machiga au mama mboga mnalipana kwa lipa namba au mobile money hivyo kupunguza sana hatali ya kuibiwa au kutapeliwa
 
Ongezea usitegemee account moja tu ya bank ama uhifadhi wa fedha wa aina moja tuuu
Siku ya sikuu ukizihitajii kwa emergency utataabika sana na ivi kwenye simu yako umejaza namba za watu ambao hata ukiwapigia simu kuomba 1ml - 5ml ndani ya lisaa limoja huwezi pataaaa
 
Hili limenitokea jana tu!

Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.

Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.

Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha nikamchukulia bidhaa kadhaa kwa bill yangu.

Hapo mfukoni sina cash nina credit card na pesa nyingine ipo kwenye simu.Ukafika wakati wa kulipa ili niondoke.

Nikatoa card yangu nikaswap ikagoma nikarudia mara nyingi bila mafanikio.Nikaomba nilipe kwa simu pia sikufanikiwa nadhani kulikuwa na shida ya mtandao.

Ikabidi niache vitu vyangu pale na kwenda Atm iliyo karibu nikafanikiwa kutoa pesa kisha nikaenda kulipa bill kwa cash.

Ili kuepuka usumbufu na kuokoa muda,uwe safarini au kwenye mizunguko yako ya kawaida jitahidi uwe pesa cash mfukoni itakusaidia sana

Ms Jeju
Tatzo wenzio nao wanaweza pita na ela Yako Kwa tusio na magar tunategemea usafr wa umma
 
Hili limenitokea jana tu!

Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.

Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.

Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha nikamchukulia bidhaa kadhaa kwa bill yangu.

Hapo mfukoni sina cash nina credit card na pesa nyingine ipo kwenye simu.Ukafika wakati wa kulipa ili niondoke.

Nikatoa card yangu nikaswap ikagoma nikarudia mara nyingi bila mafanikio.Nikaomba nilipe kwa simu pia sikufanikiwa nadhani kulikuwa na shida ya mtandao.

Ikabidi niache vitu vyangu pale na kwenda Atm iliyo karibu nikafanikiwa kutoa pesa kisha nikaenda kulipa bill kwa cash.

Ili kuepuka usumbufu na kuokoa muda,uwe safarini au kwenye mizunguko yako ya kawaida jitahidi uwe pesa cash mfukoni itakusaidia sana

Ms Jeju
Nikweli mkuu hata mimi niliwahi kunitokea ashukuriwe yule demu alikuwa na hela maana tyr tulikuwa tumekula na kunywa.

Lakini yote kwa yote ilaumiwe CCM hiki chama kinaturudisha Nyuma kwa speed ya ajabu
 
Hili limenitokea jana tu!

Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.

Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.

Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha nikamchukulia bidhaa kadhaa kwa bill yangu.

Hapo mfukoni sina cash nina credit card na pesa nyingine ipo kwenye simu.Ukafika wakati wa kulipa ili niondoke.

Nikatoa card yangu nikaswap ikagoma nikarudia mara nyingi bila mafanikio.Nikaomba nilipe kwa simu pia sikufanikiwa nadhani kulikuwa na shida ya mtandao.

Ikabidi niache vitu vyangu pale na kwenda Atm iliyo karibu nikafanikiwa kutoa pesa kisha nikaenda kulipa bill kwa cash.

Ili kuepuka usumbufu na kuokoa muda,uwe safarini au kwenye mizunguko yako ya kawaida jitahidi uwe pesa cash mfukoni itakusaidia sana

Ms Jeju
Cash is a King, kumbuka siku zote!!
 
Back
Top Bottom