JEJUTz
Member
- Aug 22, 2024
- 75
- 197
Hili limenitokea jana tu!
Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.
Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.
Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha nikamchukulia bidhaa kadhaa kwa bill yangu.
Hapo mfukoni sina cash nina credit card na pesa nyingine ipo kwenye simu.Ukafika wakati wa kulipa ili niondoke.
Nikatoa card yangu nikaswap ikagoma nikarudia mara nyingi bila mafanikio.Nikaomba nilipe kwa simu pia sikufanikiwa nadhani kulikuwa na shida ya mtandao.
Ikabidi niache vitu vyangu pale na kwenda Atm iliyo karibu nikafanikiwa kutoa pesa kisha nikaenda kulipa bill kwa cash.
Ili kuepuka usumbufu na kuokoa muda,uwe safarini au kwenye mizunguko yako ya kawaida jitahidi uwe pesa cash mfukoni itakusaidia sana
Ms Jeju