Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote


Single mother huwa anachumbiwa!!?Tanzania kuna maajabu mengi sana
 
Ila we jamaa bhana yaani unavyolalamikaga utafikiri hujaoa! Kwani mmelazimishwa kuchepuka mkiona michepuko gharama si mtulie na wake zenu?

Na mimi nasema wanawake waendelee kukaza hivyo hivyo hakuna kulegeza kamba! Kwani na ninyi mkiacha hizo pesa zenu kuna nini kingine mnachowapa?

Msitegemee msaada wala mapenzi ya dhati kwa wanawake ambao hamna malengo nao wala hamuwezi kuwaoa hasa ninyi waume za watu! Tulieni na ndoa zenu!
 
Ina maana mkuu, wale ambao hawajaoa hawapigwi mizinga?
 
Ina maana mkuu, wale ambao hawajaoa hawapigwi mizinga?
Swali ni je wanakuwa na malengo na hao wanawake as in watawaoa? Kama hawawaoi sasa kwanini wanataka wanawake ndiyo wajicommit kwenye hayo mahusiano?
 
Zoe nakupenda sana, may u love me back ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…