Usitumie hela nyingi kupata Ngono

Usitumie hela nyingi kupata Ngono

wewe unae lala na malaya unazo baraka? ni huzuni kuona sinner judge a sinner for sinning different
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, TUSIWAPE PESA KUBADILISHA MAISHA YAO.

Tusaidie wenye mahitaji tu, na sio watu watakaotuletea laana.
 
Kila mtu awe tajiri kivyake na asave kivyake, usiwafanye watu watongoze watoto waende jela
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.

Saidia Ndugu na watu wenye uhitaji, acha ujeuri maana malaya hakuna anachojali kuhusu wewe zaidi ya kukuletea Laana.

AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO.
 
Malaya ni Mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata pesa.
Okay....kwa maana hiyo, hii biashara ili iwepo lazma mwanamke na mwanaume wote wahusike, mwanaume akiacha kununua huyo mwanamke hatauza....je mpo tayari hii biashara ife kweli??? Na mnanunua ili kupata utelezi swala la kubadili maisha ni swala binafsi la muuzaji.....je hamtanunua????
 
Nilichofanya ni kuwafundisha kilicho sahihi.

UAMUZI KILA MTU ANAOBINAFSI
 
Ujinga ni kutomsaidia mwenye shida na kumpa hela Malaya ambae anakuletea mikosi, laana na nuksi.

AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO.
Mkosi laana na nuksi, tunajua mimi na wewe, kuna wengine huo msamiati hawaujui, yani wanafanya mambo meusi na yao yanawaendea na kuna wengine wanasaidia wasiojiweza na nuksi tunazo, maisha hayana formula maalum.
 
Kwahyo wewe unaona ni sahihi kununua Malaya?
 
Nikisema ww unaemtetea Malaya ni shetani nitakuwa nakosea?
Sijamtetea malaya as per you, but nilichosema ni kwamba kitendo cha kusema anastahili kubaki maskini ni roho mbaya na sio ubinadamu.

UNAAMINI MUNGU?
Ndio namuamini mungu na huyo mungu ninayemwamini alisema DON'T JUDGE OTHERS, hujui maisha yake ya nyuma yalikuwaje hadi akaamua kuingia kweny hio biashara.

Mwenyew nilikuwa kama wewe, I despised them, nilikuwa nawaona kama hawana thamani, siku moja nilikutana na mmoja alikuwa anaelezea story yake, alisema tokea yupo mdogo alikuwa akiingiliwa na baba ake wa kambo na mama yake hata hamtetei, baba ake wa kambo alikuwa anapenda watoto wadogo kwaio alikuwa akimwingilia kadri anavotaka na mama ake alishindwa kumtetea kwasababu walikuwa maskini, yule baba angewafukuza wangelala mitaani, baada ya hapo yule mama alianza kumuuza mtoto wake kwa watu ili alipe madeni yake aliyokuwa anadaiwa.
Yule binti alijitahidi kusoma hadi akafika chuo, kwa maisha aliyopitia ya baba ake kumwingilia na mama ake kumuuza kwa watu mbalimbali aliyaona maumbile yake kama vile sio kitu cha thaman tena, na kwasababu ya ugumu wa maisha alivofika chuo akaanza kujiuza.

Sasa mdada kama huyu na trauma zote alizopitia, we unafikiri akianza kujiuza nani wa kulaumiwa? Just think Broo.
Don't judge a person, hujui kapitia nn.

Mungu wangu kanifundisha upendo, kasema mpende kila mtu sawa, mungu kanifundisha kuombea wenye shida, wenzako wana shida usione wanajiingiza kweny hizo biashara, hata yesu mwenyew alikaa na malaya na kuwafundisha.

Kuhusu kujali hisia sidhani kama ni kosa ambalo wao tuu wanalo, tunaishi na watu wengi mitaani tena wengine nyumba moja na mtu bado hajali kabisa hisia zako, anakutesa na kukunyanyasa kwasababu ya wivu tuu.

Mzee wewe ndo unaniuliza mm kama namwamini mungu, brother hili swali inabidi wewe ndo ujiulize.
 
Kwahyo magumu ndio yana halalisha mtu Kujiuza?

Kuna kazi nyingi tu za kufanya na sio Umalaya, Mshauri huyo mtu afanye kazi na sio kujiuza.

NB: AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO HAYO MAARIFA
 
Ushajiuliza Pesa ni nini ?

Unaweza ukala chakula kwa elfu kumi kwenye Hoteli fulani mtaa fulani lakini kumbe mtaa wa nyuma kuna genge lenye chakula cha elfu moja tena bora kuliko hicho ulichokula...

Product Placement na Perception matters...., Unadhani Rolex ingeshuka bei leo wanaoinunua wangeendelea kununua ? (Ingawa sio kweli kwamba ni the Best Watch in the World)...

In short to each his/her own....; Na pesa ni nyenzo tu ya kupata needs and wants...
 
Kwahyo magumu ndio yana halalisha mtu Kujiuza?

Kuna kazi nyingi tu za kufanya na sio Umalaya, Mshauri huyo mtu afanye kazi na sio kujiuza.

NB: AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO HAYO MAARIFA
Mkuu nakubaliana na wewe, uliyosema ni sahihi, lakini shida inakuja unakuta wanataka shortcut na ndicho kinachowaponza.

Hawana uvumilivu.
 
Naomba nikuulize mtoa mada, unamjua baba yako?
Km unamjua, unajua alianzaje kumtongoza mama yako?

Km humjui, unajua mama yako amekupataje?
Naamini hujui,

Kumbuka, binadamu ni familia ya Animals. .... ni ustaarabu na utashi tu ndio uliotufanya tuwe tofauti na mbwa.

Sex ukifanya kabla ya ndoa ni umalaya kwa taratibu za kidini ..... je wewe ni products ya tendo la ndoa au umalaya?....jijibu mwenyewe.

....hapo zamani sisi wanaume hatukuwahi fikiri km dunia itageuka na sex kugeuka kuwa biashara,

Nunua , furahia maisha yako mafupi hapa duniani,
We live once.
 
I'M SORRY IF I OFFENDED YOU IN ANY WAY, AND I'M REALLY SORRY IF YOUR LITTLE MIND CAN'T COMPREHEND WHAT I'VE SAID BUT SERIOUSLY, I DON'T GIVE A FU*K
"Mkuu nakubaliana na wewe, uliyosema ni sahihi, lakini shida inakuja unakuta wanataka shortcut na ndicho kinachowaponza.

Hawana uvumilivu."

Hivi unapoandika comment huwa unakumbuka ulichokiandika kabla, au ndoa unajaza Server tu?
 
Back
Top Bottom