Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Malaya ni nani kwani? Malaya maana yake ni nini??Hakuna aliemkataza Mtu.
Slogan ni Moja tu - MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, TUSIWAPE PESA KUBADILISHA MAISHA YAO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaya ni nani kwani? Malaya maana yake ni nini??Hakuna aliemkataza Mtu.
Slogan ni Moja tu - MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, TUSIWAPE PESA KUBADILISHA MAISHA YAO.
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, TUSIWAPE PESA KUBADILISHA MAISHA YAO.wewe unae lala na malaya unazo baraka? ni huzuni kuona sinner judge a sinner for sinning different
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.Kila mtu awe tajiri kivyake na asave kivyake, usiwafanye watu watongoze watoto waende jela
Okay....kwa maana hiyo, hii biashara ili iwepo lazma mwanamke na mwanaume wote wahusike, mwanaume akiacha kununua huyo mwanamke hatauza....je mpo tayari hii biashara ife kweli??? Na mnanunua ili kupata utelezi swala la kubadili maisha ni swala binafsi la muuzaji.....je hamtanunua????Malaya ni Mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata pesa.
Nilichofanya ni kuwafundisha kilicho sahihi.Okay....kwa maana hiyo, hii biashara ili iwepo lazma mwanamke na mwanaume wote wahusike, mwanaume akiacha kununua huyo mwanamke hatauza....je mpo tayari hii biashara ife kweli??? Na mnanunua ili kupata utelezi swala la kubadili maisha ni swala binafsi la muuzaji.....je hamtanunua????
Mkosi laana na nuksi, tunajua mimi na wewe, kuna wengine huo msamiati hawaujui, yani wanafanya mambo meusi na yao yanawaendea na kuna wengine wanasaidia wasiojiweza na nuksi tunazo, maisha hayana formula maalum.Ujinga ni kutomsaidia mwenye shida na kumpa hela Malaya ambae anakuletea mikosi, laana na nuksi.
AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO.
Kwahyo wewe unaona ni sahihi kununua Malaya?Mkosi laana na nuksi, tunajua mimi na wewe, kuna wengine huo msamiati hawaujui, yani wanafanya mambo meusi na yao yanawaendea na kuna wengine wanasaidia wasiojiweza na nuksi tunazo, maisha hayana formula maalum.
Sijamtetea malaya as per you, but nilichosema ni kwamba kitendo cha kusema anastahili kubaki maskini ni roho mbaya na sio ubinadamu.Nikisema ww unaemtetea Malaya ni shetani nitakuwa nakosea?
Ndio namuamini mungu na huyo mungu ninayemwamini alisema DON'T JUDGE OTHERS, hujui maisha yake ya nyuma yalikuwaje hadi akaamua kuingia kweny hio biashara.UNAAMINI MUNGU?
Noma sana😂😂 mwamba akimaliza tu anasema sasa nimefanya upuuzi gani huu ugoro ukijaa anarudi kule kuleAkili ikirudi unajiona mjinga unaapa sirudii tena
Upwiru ukija tena unarudia mulemule
Maisha ya wanaume mateso
Kwahyo magumu ndio yana halalisha mtu Kujiuza?Sijamtetea malaya as per you, but nilichosema ni kwamba kitendo cha kusema anastahili kubaki maskini ni roho mbaya na sio ubinadamu.
Ndio namuamini mungu na huyo mungu ninayemwamini alisema DON'T JUDGE OTHERS, hujui maisha yake ya nyuma yalikuwaje hadi akaamua kuingia kweny hio biashara.
Mwenyew nilikuwa kama wewe, I despised them, nilikuwa nawaona kama hawana thamani, siku moja nilikutana na mmoja alikuwa anaelezea story yake, alisema tokea yupo mdogo alikuwa akiingiliwa na baba ake wa kambo na mama yake hata hamtetei, baba ake wa kambo alikuwa anapenda watoto wadogo kwaio alikuwa akimwingilia kadri anavotaka na mama ake alishindwa kumtetea kwasababu walikuwa maskini, yule baba angewafukuza wangelala mitaani, baada ya hapo yule mama alianza kumuuza mtoto wake kwa watu ili alipe madeni yake aliyokuwa anadaiwa.
Yule binti alijitahidi kusoma hadi akafika chuo, kwa maisha aliyopitia ya baba ake kumwingilia na mama ake kumuuza kwa watu mbalimbali aliyaona maumbile yake kama vile sio kitu cha thaman tena, na kwasababu ya ugumu wa maisha alivofika chuo akaanza kujiuza.
Sasa mdada kama huyu na trauma zote alizopitia, we unafikiri akianza kujiuza nani wa kulaumiwa? Just think Broo.
Don't judge a person, hujui kapitia nn.
Mungu wangu kanifundisha upendo, kasema mpende kila mtu sawa, mungu kanifundisha kuombea wenye shida, wenzako wana shida usione wanajiingiza kweny hizo biashara, hata yesu mwenyew alikaa na malaya na kuwafundisha.
Kuhusu kujali hisia sidhani kama ni kosa ambalo wao tuu wanalo, tunaishi na watu wengi mitaani tena wengine nyumba moja na mtu bado hajali kabisa hisia zako, anakutesa na kukunyanyasa kwasababu ya wivu tuu.
Mzee wewe ndo unaniuliza mm kama namwamini mungu, brother hili swali inabidi wewe ndo ujiulize.
Mkuu nakubaliana na wewe, uliyosema ni sahihi, lakini shida inakuja unakuta wanataka shortcut na ndicho kinachowaponza.Kwahyo magumu ndio yana halalisha mtu Kujiuza?
Kuna kazi nyingi tu za kufanya na sio Umalaya, Mshauri huyo mtu afanye kazi na sio kujiuza.
NB: AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO HAYO MAARIFA
Usirudie tena kuwatetea Malaya.Mkuu nakubaliana na wewe, uliyosema ni sahihi, lakini shida inakuja unakuta wanataka shortcut na ndicho kinachowaponza.
Hawana uvumilivu.
I'M SORRY IF I OFFENDED YOU IN ANY WAY, AND I'M REALLY SORRY IF YOUR LITTLE MIND CAN'T COMPREHEND WHAT I'VE SAID BUT SERIOUSLY, I DON'T GIVE A FU*KUsirudie tena kuwatetea Malaya.
Umenielewa?
"Mkuu nakubaliana na wewe, uliyosema ni sahihi, lakini shida inakuja unakuta wanataka shortcut na ndicho kinachowaponza.I'M SORRY IF I OFFENDED YOU IN ANY WAY, AND I'M REALLY SORRY IF YOUR LITTLE MIND CAN'T COMPREHEND WHAT I'VE SAID BUT SERIOUSLY, I DON'T GIVE A FU*K
Vijana kama nyie ndio mnafanya watu wasiandike Threads kwa ujuaji wenu na dharau.I'M SORRY IF I OFFENDED YOU IN ANY WAY, AND I'M REALLY SORRY IF YOUR LITTLE MIND CAN'T COMPREHEND WHAT I'VE SAID BUT SERIOUSLY, I DON'T GIVE A FU*K