Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Mimi kanuni yangu ni kwamba, mwanamke akiniletea bill zake nilipe huwa napiga hesabu iyo hela anayoiomba naweza nikafanyia nini cha kuninufaisha mimi mwenyewe binafsi mfano kaniomba 50K na kweli kwenye hazina yangu ninayo 50K ya ziada basi nitaangalia iyo hela naweza kuifanyia nini. Napiga uchunguzi wa fasta nyumbani kwangu nini kimepungua labda nikagundua sofa hazipigwa maji kitambo iyo 50k badala ya kumtumia demu napeleka sofa dry cleaner zing'alishwe sebure yangu ipendeze
 
😀😀😀😀bro ulianzaje lakini?? Watoto 3 wa midume wenzio na wewe ukajiona ndo utamuweza??? aisee wacha niendelee KUKATAA NDOA
 
Tuendelee tu kupata burudani na utunzi JF
Siko hapa kuonyeshana umwamba au ujuaji, kama umeona nilichoandika, ni Utunzi au niongo okey, sawa wewe uko sahihi. umeshinda mkuu.
Ila kwa wale ambayo watatumia kama Funzo naliweafunze ila Mimi, Binafsi niliandika kwa Nia ya Kujifunza kwa wengine wasipite njia niliopita Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…