Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

Ulikuwa mshamba ndio umetoka bush sio?

Unaachaje valuables hotelini/lodge unatoka? Hata ukisema unafunga unaenda na funguo hao wanakuwaga na spare keys.
 
Mi uwa siwaachiii wahudumu funguoπŸ˜€ nilisahau kufunga mlango nikaenda nje kukaa kupunga upepo uku nimemwacha mhudumu chumba chake na umo umo lodge na Rafiki yangu alikuwa room kwake vyumba vyetu milango ilikuwa inatazamana
 
Ulikuwa mshamba ndio umetoka bush sio?

Unaachaje valuables hotelini/lodge unatoka? Hata ukisema unafunga unaenda na funguo hao wanakuwaga na spare keys.
Mkuu usimwite mshamba ni kujisahau tu na kuwaamini sana watu
 
Mi uwa siwaachiii wahudumu funguoπŸ˜€ nilisahau kufunga mlango nikaenda nje kukaa kupunga upepo uku nimemwacha mhudumu chumba chake na umo umo lodge na Rafiki yangu alikuwa room kwake vyumba vyetu milango ilikuwa inatazamana
Wakati wa usafi je?
 
Sasa na wewe una uhakika ni mfanya usafi alikuibia?

Maana pia hilo swali umemuuliza mtoa mada!
 
Wakati wa usafi je?
Usafi gani WA kila siku zaidi ya kuomba kubadilishiwa shuka tu,sema nimejifunza sana kupitia ilo tukio na zaidi ni kutotembea na pesa cash nyingi na pili kutowaamini sana watu na kuwa makini nao
 
Yes. Sababu nilimpisha yeye tu. Na kwenye BF sikukaa muda mrefu nikarudi room.
Sasa na wewe una uhakika ni mfanya usafi alikuibia?

Maana pia hilo swali umemuuliza mtoa mada!
 
Yes. Sababu nilimpisha yeye tu. Na kwenye BF sikukaa muda mrefu nikarudi room.
Kati ya sehemu hatari Kwa wizi mdogo mdogo na wasichana wahuni wapanga njama za wizi basi ni Moro ,Kuna siku ntawapa mkasa WA Jack malaya WA Kaumba Moro alivyonipiga na kitu kizitoπŸ˜€
 
Nimewahi amini mtu fulani alinifanyia ubaya, kila kitu cha kimazingira kina mpoint yeye na ushahidi( mara nyingi zaidi ya hii yako). Jamaa wa watu nikakomaa maana mpaka ali sign, nikamnyima $1500 yake.

Baada ya miaka mingi, Dada ambaye ndo alisema alimpa huyo jamaa $1500 kumbe ni uongo, alikuja akanambia mimi ndo nilizingua, nisamehe, na akarejesha zile hela.

Nikamtafuta jamaa na kumwomba sana msamaha, mpaka leo sitaweka dhana pasi na ushahidi wa moja kwa moja katika haya mambo, kama huna ushahidi, mwache jama wa watu na wala usimuwaze vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…