Usiwape pesa watu wenye mikosi, utapoteza zaidi

Ninachojua mimi ni pale;
-Unapofanya kazi na mtu aliyenajisiwa na hivo vikorokoro.

-Kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu aliyenajisiwa na hivo vikorokoro.

Kwenye suala la kutoa halinaga hasara labda kama unayempa ametumwa. Mfano unaweza kutana na mtu anakuomba hata elfu 1. Ukampa, akapeleka alikoagizwa kwa ajiri ya yeye kufanyiwa namna ili maisha yake yapendeze(Utajiri).
Hii hufaulu kwa wale wasio na imani, lakini ukiwa unamuamini Mungu hata aende akalogeje hiyo hela hatoboi.

Kwenye upande wa kukopesha, hapa ndio huwa kimbembe!

Unaweza kuta mkopeshaji anamatatizo au mkopeshwaji anamatatizo.
Uchawi upo na laana zipo pia, ndio maana unakuta mtu kalaaniwa hadi na kizazi chake. Nikisema mpaka kizazi chake namaanisha watu wote watakaokuwa wakishughulika naye.

Kiukweli, tuombeni tu Mungu atuepushe na hizo roho. Hakuna namna!
 
Umesema kweli, kama huna hofu na hilo unaweza itakasa pesa YAKO kabla ya kuwapa. Unainenea jambo then kama pana uovu wao hautokupata.
 
Wakati mwingine unashindwa kufanikiwa kwa sababu tayari shetani anaijua nia YAKO ukifanikiwa utamsaidia nani na nani. So anakupin wewe ( supporter company ) Ili usifanikiwe KWA lengo wale utakao wasaidia waendelee kuteseka.

KWA utafiti wenye mioyo ya kusaidia au kutoa, Mfano nikipata pesa nitainua ukoo au kijiji utotoboa na hata ukitoboa ni kwa mbinde Sana yaani umeweza zishinda nguvu za giza.

Zipo nguvu zinazoseti life limits ya mtu, Jamii, ukoo au eneo fulani libakie hivyo hivyo lisivuke standard walizoseti.
 
Duh Mungu nae anatoa laana ili watu wateseke?
Ayubu. Hata Mungu anakupitisha kwenye tabu na dhiki pia.
1.Kama umemuacha upo mbali nae so ukusogeza kwake ufanye ibada KWA sababu ya shida.
2.Kukujenga zaidi Ili changamoto za mbele kwako ziwe SAwa na maji.mfano aliyeumizwa kimapenzi hawezi lia mapenzi tena. Experience
3.Kukuepusha na baya zaidi na kukuandalia zuri zaidi.
Mfano unafukuza Kazi unalia unaumia Sana unayumba sana. Unaamua kuingia kwenye kilimo KISHA kinalipa zaidi ya Kazi unaanza kujuta kwann nilipotexa mda kwenye Kazi kwann sikufanya kilimo mwanzoni
 
Kwahiyo unatufundisha nini kaka!!!!Na wewe ukihitaji msaada tusikupe au wewe umekamilika hauna hizo kasoro ulizozitaja???
 
Usitoe sadaka kwa walemavu wanaojipanga road Hawa wengi wao pesa zao wanatumia kulewa na kununua wanawake sadaka itakayokubariki ni ile utakayotoa kanisani au kwenye taasisi ya kusaidia wenye mahitaji
Una ushahidi kaka????Afu mbona unawapangia matumizi watu wenye huitaji kaka??
 
Zaburi 41:1 inasema tutabarikiwa tukiwasaidia watu ambao ni wahitaji pale unapokuwa na nafasi ya kufanya fanya, katika Maisha ukiruhusu imani za kiswahili ku guide Maisha yako utaona kila mtu ni mbaya wako
 
Ni maoni yako binafsi
 
Sasa hizo ndo laana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…