Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kuna mshikaji alikua mlemavu wa miguu mchana kutwa anaomba ila ana mademu kitaa anaonga balaaKwani we hili hulijui Hawa watu ndio usiku wanakula Sana Bata kuliko watu wazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mshikaji alikua mlemavu wa miguu mchana kutwa anaomba ila ana mademu kitaa anaonga balaaKwani we hili hulijui Hawa watu ndio usiku wanakula Sana Bata kuliko watu wazima
Yaani ukimchumbia tu ndo kama umefukua makaburi ya matatizo ya zamaniDaah, 😁 😁 😁 😁
Nimecheka kwa sauti utafikiri vizuri.
AhahahahaKuna mshikaji alikua mlemavu wa miguu mchana kutwa anaomba ila ana mademu kitaa anaonga balaa
Mmmmh OMGUnakwenda kutoa mahari tu unarudi kazini unakutana na termination letter kwa makosa ya miaka 3 iliyopita
Una nuksi?Binafsi napitia hili. Ukishanuiwa nuksi hakuna litakalokwenda kwako.
Upuuzi mtupu pia hauna hela Mkuu ya kutoa
Duh Mungu nae anatoa laana ili watu wateseke?
Wakati mwingine unashindwa kufanikiwa kwa sababu tayari shetani anaijua nia YAKO ukifanikiwa utamsaidia nani na nani. So anakupin wewe ( supporter company ) Ili usifanikiwe KWA lengo wale utakao wasaidia waendelee kuteseka.
KWA utafiti wenye mioyo ya kusaidia au kutoa, Mfano nikipata pesa nitainua ukoo au kijiji utotoboa na hata ukitoboa ni kwa mbinde Sana yaani umeweza zishinda nguvu za giza.
Zipo nguvu zinazoseti life limits ya mtu, Jamii, ukoo au eneo fulani libakie hivyo hivyo lisivuke standard walizoseti.
Unaongea na mimi au unaongea na Mengi au mleta mada, wapi nimesema naamini ushirikina?!acha imani za kishirikina hiyo ni law of nature/God.. kama kuna waganga wanatiumia ni kwa sababu wanajua ni sheria za Mungu
Utoaji ni jambo takatifu sana na linapaswa kufanywa kwa utakatifu. Ni kweli hela yako ikiangukia mikononi mwa mshirikina na akaifanyia uchawi kama huna kinga ya kimungu utapoteza. Suluhisho ni kuwa vizuri kiroho na kuombea kila unachofanya na kuepuka dhambi.Habari!
Hili jambo nimelifanyia utafiti wa kutosha.
Ni hivi: Kuna watu wamenajisiwa na majini, wachawi, mizimu au mapepo ili wasisitawi kwenye jambo lolote lile. Kielimu, kiuchumi, kisiasa na hata kijamii ukinajisiwa na wachawi huwezi kustawi. Utaishi kwa mateso mwanzo mpaka mwisho wa uhai.
Sasa watu wa namna hii usiwe mwepesi kuwapa msaada au kuwapa pesa. Kama kutakuwa na ulazima wa kuwasaidia basi hakikisha unaivunja ile nira yake isikuguse wewe. Hawa watu ukitaka kuwasomesha biashara yako inaweza kufa, kazi yako inaweza kuingia mchanga ili tu waendelee kuteseka.
Hata kwenye kuhonga kuwa makini, mwanamke mwingine ukimpa pesa yako tu lazima utapoteza zaidi.
Kuna watu ukiwasaidia ile wakigeuka tu unapata zaidi ila wengine ukiwasaidia ile wakigeuka tu subiri maumivu.
Cha msingi acha kutoa hovyo, hata walemavu si watu wa kuwapa hovyo. Wengine ulemavu wao ni laana za Mungu ili wateseke zaidi.
Amani ndani ya moyo wako ndio sauti ya Mungu inayompa mtu ruhusa ya kufanya au kutokufanya jambo.
comment yako imejaa hizo imaniUnaongea na mimi au unaongea na Mengi au mleta mada, wapi nimesema naamini ushirikina?!