Usiwape pesa watu wenye mikosi, utapoteza zaidi

Mwingine ukimpa pesa anaipeleka makaburini kufanya mambo yake. Kama ni duka unafilisika na mikosi ya kila aina. Ukienda nyumbani vile vizee vinavyoomba pesa sio wa mchezo, ila katika kumi huenda kuna mwenye nia nzuri ila utamjuaje? Maisha ni mchezo, ukishayajua hayo utaishi kwa amani duniani.
 
Japo sijasoma content...ila nipende kusema " ukiamini hivyo kweli inakuwa hivyo ila ukitoa kwa moyo mweupe bila kuwa na imani nyuma yake hakuna kinachotokea"
 
Wewe kama huna moyo wa kusaidia wengine baki kivyako,,,siyo kushusha uzi ambao hata tukikuuliza maswali hutaweza kujibu..
 
Ni kweli kama huna msuli wa imani yaani muoga kwamba unaamini ukirogwa unarogeka, ila kama una misuli yakutosha hizo nuksi, laana, najisi hazipenyi mahali.
Dr. Mengi (RIP) alikuwa ana kusanya walemavu anakula nao bata na kuwasaidia hizo balaa na mikosi siingeifilisi ITV midiya.
 
What if ndiyo yalikua masharti ya mganga wake?

Naongea kama maamuma kutoka mitaa ya yombo dovya.
 
What if ndiyo yalikua masharti ya mganga wake?


Naongea kama maamuma kutoka mitaa ya yombo dovya.
acha imani za kishirikina hiyo ni law of nature/God.. kama kuna waganga wanatiumia ni kwa sababu wanajua ni sheria za Mungu
 
Unakwenda kutoa mahari tu unarudi kazini unakutana na termination letter kwa makosa ya miaka 3 iliyopita
Sasa huu ni mkosi au ni makosa yako mwenyewe uliyofanya huko nyuma. Hiyo ni coincidence tu. Ingekuwa terminated kwa makosa ya kusingiziwa labda hapo ungeunganisha dots, vinginevyo...
 
Yaani masharti ya mchawi wako aliyekupa hirizi unataka kuyafanya kanuni ya imani kwa wengine ?
Acha hizo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…