Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Wajita na wakurya wamejazana mwanza na wana maeneo yao kabisa,maeneo ya kitangiri,nyamanoro na ibungilo katika kila nyumba 10 basi 7 ni za wajita,maeneo ya igogo,bugarika,isamilo mlimani kwa warunguli,maeneo around bugando hadi kushuka mabatini wamejazana wakurya.
 
Umemaliza kila kitu mkuu kuhusu wajita
 
hakuna mkurya mshirikina
 
Kwahyo hukuona maendeleo yoyote zaidi ya kula ugali wa mtama na udaga🤔
 
nimekaa mwanza experience yangu ya watu wa mara kuhusu wajita hapana kwa kweli aisee ni wachonganishi mnoo na umbeya plus uchawi, wakurya wao ni fujo tu, wajaluo umalaya hata wajita umalaya pia
 
Haya makabila bana wako ivi hawatawazi kwa maji wao ni miti majani, michanga, miamba chupa au visu na mapanga wana namna ya kuvishika visiwaumize wanadai ile ukiiokokotoa inatoa uchafu wote! Maji wanaona unapoteza muda! halafu hawapendi kushika shika huko! na vidole!

usiwe mwepesi kukimbilia kisu ukiwa maeneo yao! halafu kadiri anavo chambia panga linakuwa na sumu ya kuua haraka na kumlinda mkataji na adui yako wanaamini madonda hayata pona haraka!!

kingine ukimpiga adui yako na panga ulilo chambia anakushau faster! ni nadrasana kukukumbuka!! pia anaweza kuku control kwa kutumia kisu kile kile ndo maana walipenda sana kutumia singe vitani kuliko risasi!

singe nyingi jeshini zilichambiwa na wajita na wakurya wkt wakiwa mstari wa mbele!! ukitaka kuprove jiumize na singe uone km utapona! wachache wanalijua hili! hizi ziliwafanya pia wasionekane kirahisi! kwa adui!

hata akienda polisi kesi inakuwa magumashi!! but wao wana namna ya kufanya ili kuififisha hiyo nguvu na kesi kufuatiliwa!! usikubali kabisa uchomwe kisu au upigwe Panga na Mjita au mkurya!! km ikitokea ujue umepigwa upande wa nyaa! kesi kwishne! hii ni siri yao!

Muhogo ni dawa kubwa sana watu hawajui tu! ndo maana wanapenda ugali ya muhogo! sasa ukichambia kisu ulicho kulia ugali wa muhogo! na kile kisu ukakitumia kikiwa kwenye hala yake halooooo!!

siendelei zaidi msije mkajaribu bureee!! mkitak wafuateni wenyewe pale kitunda kwa akili vinginevo mura yatakwambi umechuache na wewe siyo mkuria mura........unataka kubhindua sirikalri!
 
Wewe unaonekana ni mtu wa pwani ambaye hajawahi kutembea sehemu yoyote zaidi kusimuliwa vijistori uchwara huko kwenye vilinge vya wavuvi wa Ngisi na pweza.
Stupid
 
Wewe unaonekana ni mtu wa pwani ambaye hajawahi kutembea sehemu yoyote zaidi kusimuliwa vijistori uchwara huko kwenye vilinge vya wavuvi wa Ngisi na pweza.
Stupid
Pamoja na kujiita jina la ''Mkaruka'' wewe siyo Mkurya wala Mjita usijipendekeze kwa makabila ya watu!! Unadhani ndo utavuta usikivu? sijui kwa nini watu wengine wanapenda makabila ya watu wengine km wewe ni mmakonde si ukubali tu jamani? heee!!
 
Mini Mzanaki, wala sihitaji kuwa kabila jingine.

Ila hiki ulichokiandika hapa ni upumbavu mtupu, na mimi ni msema kweli.
 
Mini Mzanaki, wala sihitaji kuwa kabila jingine.

Ila hiki ulichokiandika hapa ni upumbavu mtupu, na mimi ni msema kweli.
unajipendekeza tu wala si mzanaki!!! nasema mmamkonde tunakujua kitambo sana!! upumbavu wa Mungu ndo akili!! funguka siyo unaropoka ropoka tu!
 
unaonekana ni mtu wa pwani ambaye hajawahi kutembea sehemu yoyote zaidi kusimuliwa
Nikweli mie wa pwani! lkn ndo kuna maendeleo kuliko sehemu yeyote ile!! wajinga wajinga wanakuja humu tunawafundisha
 
unaonekana ni mtu wa pwani ambaye hajawahi kutembea sehemu yoyote zaidi kusimuliwa
Nikweli mie wa pwani! lkn ndo kuna maendeleo kuliko sehemu yeyote ile!! wajinga wajinga wanakuja humu tunawafundisha
Basi njoo ukalie chuma. Hakikisha umeiosha
ulijuje chuma kinakaliwa?? bila shaka ulisha kalia sana mkuu!! sasa unatafuta kick!!! unaniita kijanja!! ili ukalie wewe!! sababu tu umejua mie mtu wa pwani! ndo zetu! sie hatuendagi popote sababu wakuja ni wengi yaani nyie mkimbie sie tuende mweee!!

any way nakuja kweli kukikalia!! tuone!! wala usipate tabu!! na ujue wahenga walisemaga huko nyuma ''asifuye mvua imemnyea''
 
Hakikisha una uwezo wa kuvumilia maana mimi nakula nakula udaga, nitakupasua vibaya mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…