Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Umesahau kitu, Wajita wanapenda sana kuendekeza masuala ya kishirikina, tofauti na Wakurya.
 
Wakurya kwa zipu na kupiga wanawake hawajambo.Rafiki yangu alifunga ndoa na mdogo wake ili apate uhamisho kwa kuonyesha cheti Cha ndoa.Hii ilikuwa mwaka 1985 wakati dada yake ambaye alikuwa mwalimu alitembelea akiwa ameng'oka meno kwa kipigo na mumewe ambao walikuwa bado kufunga ndoa. Bwana huyu alikuwa akimpiga kwa kushindwa kumpa pesa ya kunywea pombe baada ya kupokea mshahara
 
Wewe ni mwenyeji huko Mara?
Huyu mwongo kabisa, kama hujaishi Musoma usichonge sana. Wazanaki hawasikilizani kabisa na Wakurya labda kidogo na Waikizu na Washashi na kwa mbali Wakabhwa. Wajita wanasikiliza na na Waruli na Wakwaya , Wakerewe na Wakara. Wakurya wanasikilizana na Wasimbiti, Wanata, Waikenye, Wailegi na jamii hiyo. Makabila yote hayo yana mfanano mmoja: hawataki dharau.
 
(1) Wajaluo wanapenda uchawi sana.
(2) Wajaluo wakabila sana.
(3) Wajaluo wanapenda madaraka (vyeo), wanapenda kuabudiwa.
(4) Wajaluo ni watu wa migogoro kila wakati.
(5) Wajaluo wengi ni wapenda sifa.
 
Mimi ni mjita pure kabisa Toka Kisolya BUNDA.

Nyongeza.

1-Hakuna uhusiano wa kitabia Kati yetu na wakurya.

2-Katika Kabila letu hakuna msamiati wa R
Maneno yote hakuna R. Yaani Penye R sisi huweka L mfano wa maneno au Majina.
Lyagenda, lyasubha, Malima, Mbwila, Kalibhata, tegelesha, n.k hatuna R. Hata aliyesema Musiba anatoka Iramba Yuko Sawa Ila kakosea matamshi hicho kijiji kinaitwa Kwilamba na wengine huita Bhulamba. Siyo Iramba hiyo ni kwa Mwigulu Chemba huko.

3.Kabila letu ndo Kiboko ya Mawifi, yaani ukioa Mjita lazima Dada zako washike Adabu hakuna kuja home na kuleta tabia za kijinga jinga na kujipangia tu mambo wanavyotaka wao eti kisa wako kwa Kaka Yao NO.. wanapaswa Kutulia tuli.

4.Moja ya Mambo ambayo ni kipaumbele kwetu ni SEX.. Siyo ME Wala KE Tunapenda Sex kuliko kitu chochote.. asilimia Kubwa zaidi ya 85% Ya wanaume wa Kijita Wana uwezo wa Kumlidhisha mwanamke wa Aina yoyote akaEnjoy Sex to the maximum level, na wanawake wa Kijita zaidi ya 90% wana uwezo wa Kumlidhisha mwanamme, siyo Magogo Kitandani huenda ziwani kwenye mchanga Wakiwa wadogo na kufundishwa kukata viuno Tena BINTI huwekewa Sindano chini usawa wa kiuno.. akishuka tu anachomwa Hivyo kwa bed wako Vizuri..

5.Wanaume ni Watafutaji maana wanapenda Kula vizuri, wanawake ni Wavumilivu, Lakini wanawake huanza kwanza kumtingisha kidogo mwanamme na kuona msimamo wako, Ukilegea tu Anakukalia, Anakutawala Ila Ukionesha msimamo wa Kiume, ni wanyenyekevu na Wajenga miji.

6_Ubishi tunaongoza japo Tofauti yetu na waha sisi tuna uwezo mkubwa Wa kujenga hoja, Tunabisha kwa Logic.. Useng'enyaji na Majungu hatujambo..
 
Mnata na Mkurya wapi na wapi mkuu?

Halafu wataturu kwa mfano inakuwa ni koo ya kabila gani? Nalo ni moja ya kabila liko Mara.
 
We huwajui wajita mkuu.

Huwezi kufananisha wajita na wakurya kitabia.
Wakurya ni watu hawanaga mambo za kiboya. Wajita 99% mambo ya kikekike sana.
Ukiangalia comenti za wadau humu utagundua kuwa wajita tabiabza hovyo tupu.
 
Wazalamo wa kanda ya ziwa. Alaf hamjui kutumia tasfida yan mtaan nilikuwa nawaona wakiongea neno linatoka kama lilivyo kama ni k*m# inatamkwa hvyo hvyo
 
Hao asili yao ni mkoa wa Manyara na Arusha
Ukiamua ku trace asili halisi utakuta hata tunaweza kuikuta hii nchi iko emptyπŸ˜‚πŸ˜‚

Ila tukiongelea ndani yetu hapa, ukienda Serengeti utakutana na wataturu walioishi vizazi na vizazi, hawawajui wenzao wa Manyara wala Arusha. Wala hawana ndugu huko.

Recently watu wameenda shule so inawasaidia kuchimbua asili zao.
 
Ona hii ndezi nayo!! Unaona fahal gani kuandika uongo we pimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…