Usiyoyajua kuhusu nguvu za mnyama simba

sifa zote anazopewa simba zilimfaa chui,maana haogopi mpuuzi yeyote na anajiamini hata mbele za watu kadhaa.
Chui ni mnyonge kwa Simba.

Nadhani huo ufalme wa Simba ni sababu ni vigumu kwa Mnyama yeyote kumuwinda Simba (mkubwa) kama kitoweo au kumshambulia tu ili amuue.
 
Hainisumbui mtu kuandika habari za kupotosha inanisumbua kwamba hii habari watu wameipokea, wanaiona ipo sahihi na wanachangia.
 
hawa wote ni paka,lakini paka chui yuko tofauti sana mzee.

kama angepewa umbo kubwa kama la simba angekuwa mnyama hatari sana.
 
hawa wote ni paka,lakini paka chui yuko tofauti sana mzee.

kama angepewa umbo kubwa kama la simba angekuwa mnyama hatari sana.

Chui yuko weak sababu yuko shy na anaishi peke yake ndo maana chui siyo wengi kama simba au fisi . Dunia hii no one weapon ku rule ni coperation bila hiyo ni ngumu sana na hii ni kwa species zote
 
YES!
Ni huyu huyu kiongozi, haka kajamaa ni balaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…