Usomaji wa Maandiko ya kidini (Biblia)

Biblia huijui ndugu, sikiliza mahubiri ya watu wa rank kubwa zaidi yako kama kina uebert angel uone na usikie nn maana halisi ya ufunuo, biblia inaishi isipo kufunulia uielewe na hauta weza utasoma tu kwa kua unaweza kusoma then basi.

Hata me niliposoma bandiko lake cha kwanza akanijia kichwani Uebert Angel maana nimetoka kumsikiliza muda mfupi na ninamsikiliza kila wakati.

Linapokuja suala la revelation, Uebert Angel ni next level aisee.
 
Hata me niliposoma bandiko lake cha kwanza akanijia kichwani Uebert Angel maana nimetoka kumsikiliza muda mfupi na ninamsikiliza kila wakati.

Linapokuja suala la revelation, Uebert Angel ni next level aisee.
Nikiri wazi sikuwah mfahamu, ahsante kwa hili, nitaanza kumfuatilia nijifunze vitu
 
Naweza nikakubaliana na wewe

Mfatilie huyu Prophet Uebert Angel ndio utajua hujui na unahitaji kujua vingi sana.

Kama level ya revelation itakutatiza, mfatilie Pastor Chris Oyakhilome, ni watu ambao wanafundisha same message lakini Pastor Chris anafundisha in the most simplified language.
 
H

ujasoma vizuri rafiki yangu neno ni jipya kila siku..
Huwa inasema hii kila siku, na kwa namna flan naweza amini BUT,
inategemea na unavyolisoma kama unascan ndio litakuwa halimanufaa yoyote kwako
ndio maana nikajiuliza leo ,inabid iweje ili mtu uwe unasoma katika namna isiyoitwa scanning?? Yan nisome vipi, kwamfano wewe how do you do it??
lakini kama ni kwaajili ya ufahamu haliwezi kuwa sawa..
How this??? Maana binafs mpaka leo kufikia hatua hii ni kwamba am fed up!! Naona kabisa kuna kitu am missing katika usomaji probably maana mbona habar hiz ni zile zile, zinawezaje zikafanyika upya kunipatia ufaham mpya everytime??

How do you do it??
 
Umeshawahi kujiuliza kwanini? unaweza kushinda mtandaoni siku nzima ukiperuzi habari mbalimbali bila kuchoka lakini ukianza utaratibu wa kusoma biblia hata dakika chache unaanza kupata usingizi ?
Mtandaoni unakutana na habari mpya lakini maandiko ya biblia ni yaleyale, ndio maana akisoma biblia anasinzia ila akiwa mtandaoni hasinzii.
 
I know Pastor Chris..Naonaga kama anaongea vitu vya kawaida tu sio vipya sana
 
Mtandaoni unakutana na habari mpya lakini maandiko ya biblia ni yaleyale, ndio maana akisoma biblia anasinzia ila akiwa mtandaoni hasinzii.
Jibu zuri kaka..
Na mimi nimesema hapo nikatoa mfano, leo i was about to read certain chapter in nee testament, lakin nikaboreka maana nikafikiri, mbona hiz bmhabar zote nishazisoma na kuzisikia, sasa nisome tena ili iweje????

Ndio maana naukiza, au kuna namna mpya ya kusoma napaswa kuifahamu?
 
Nimekuelewa.....haikukuti wewe tu ni wengi
Niko safrini....

Nitarudi
 
Hivyo inakuwezesha kuielewa Biblia vyema na pia kuisoma na kuitafakari kwa wakati, na kadri unavyozidi kudumu kwenye kanisa na ndivyo unavyozidi kuisoma zaidi na zaidi na kuielewa
Shukrani, nafikiri hapa labda ndio kunaweza kuwa na point.
Hiv mtu anaposema "kuitafakari" biblia, anakua anamaanisha nini??
Ni kwamba kukaa kuiwaza na ku memorize au what does it mean? Maana hiv vitu nafikiri havifundishwi sawa sawa na hawa watu wengi wanafahamika kama waalimu wa neno la Mungu.

Natafakari vipi bible?
 
Mtu hafundishwi baiskeli mara mbili akishajua
Nimekusoma chief, ila kwa hapa mimi nafikiri hii kitu nahitaji kujua zaidi.. level niliopo nimekaa na kugundua kwamba, i know the stories na histories but WHAT IS THE ESSENCE of all this stuffs???
 
Ahsante sana chief. Nimekuelewa ingawa nahitaji kwemda beyond hapa nilipo na hiki umesema maana naona ndipo nilipo kwasasa and i need new stuff out of the same stuff
 
Nashukuru, honestly, i will contact you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…