Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi.
Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia wengine ndio hao wametopea kwenye mapombe.
Pia kumekuwa naongezeko la vikundi tofauti tofauti vya kihalifu nchini kama vile wakolea "WEUSI" pale Mbeya, kwa Dar es Salaam kuna hawa vijana wanao sikika kila kukicha kwenye vyombo vya habari jinsi wanavyo uchachafya mji, je, ulishawahi kujiuliza nini chanzo cha haya yote?
Kwa utafiti wangu binafsi nimekuja kugundua chanzo ni malezi mabaya, watoto kukaa mbali na wazazi vipindi vya utoto, maisha magumu na kingine kikubwa ambacho jamii imekifumbia macho ni talaka ambazo zinatokana na utovu wa nidhamu kwa wanandoa hasa kwa jinsia ya kike ambayo msingi wake ni WATU WA USTAWI WA JAMII.
Ilikuwa mwaka 2012/2/30 rasmi nilihamia Tunduma Mkoani Songwe nilianza kujishughulisha na kazi ndogondogo ndani ya miezi mitatu nikapata kamtaji nikafungua kibanda Mitaa ya Majengo, basi pale nilikuwa nikiuza sigara, soda, pombe, sabuni na viroba kabla havijakatazwa.
Mungu mwema wateja walianza kumimi Nika nikawa naingiza mpaka lakimbili kwa KWA SIKU mtajiwangu ulikuwa kwa Kasi nikanunua bidhaaa zakutosha mpaka nikafikia hatua Sina pakuweka"kibanda kimejaa nafasi hakuna kwabahati nzuri pembezoni mwakibanda changu kulikuwa na dada mmoja alikuwa akiitwa PENDO
Ni dada ambaye alikuwa mweupe mlefu mkalimu ukimwangalia kwa haraka haraka yeye alikuwa anauza mgahawa pale pembeni Basi kwakuwa kibanda changu kilikuwa kimejaa Sana nikamwomba hifadhi ya baadhi ya bidhaaa pale hakubisha kwa uchangamfu akani kubaria nikaanza kuhifadhi bidhaaa pale nakwakuwa alikuwa akinihifadhia bidhaaa zangu nikaona sio vyema nikale sehemu nyingine chakula nivyema Nile hapa hapa kwahiyo nikajiwekea.
Utaratibu wa kwenda Kula pale kilasiku skujua aani wazia Nini hakika skujua ningejua Leo nisingekuwa hapa......
INAENDELEA....
Niliendelea Kula pale kwa mda wa miezi miwili lakini kwakuwa nilikuwa bize na kazi kunawakati skuweza kutoka kibandani hivvyo niliomba aniletee chakula pale kibandani kwa bahati nzuri alikuwa namdogo wake ambaye alimtuma alete chakula pale mdogowake wakike huyo alikuwa anaitwa Devo ILIKUWA hivyo kwa mud.
Tukaanza kuzoeana na ndogo wake huyo ikafikia kipindi akawa anakuja kibandani pale tuna zungumzia mengi Basi nikataka kumjua nimwenyeji wa wapi ndipo akaniambia anatokea mbeya ni msafwa na kwenye maelezo yake ilionekana alikuwa nijirani yetu urafiki ukazidi kuiva skujua alikuwa na lengo gani Mimi niliona ni urafiki tu.
Basi siku moja akaja akaniambia bwana Mimi nachangisha mchango unatoa shilling alfu mbili Kila siku tupo watu tisini ikifika zamu yako unachukua hela yako na KIla siku mtu anachukua mchango nikapiga hesabu ikaonekana nisawa na 2000*90=180000/= nikaona ni vema nikamwambia ngoja nifikirie tuangalie kesho, kesho yake ilipofika akafika pale kibandani akanikumbusha kuhusu mchango nikamwambia nipo tayari niandike majina mawili kilasiku ntakuwanatoa shilingi 4000/= ili Nije nichukue shilingi 360000/=Basi nikaandika jina pale utaratibu ukaanza nilitoa mchangok kwajuhudi zote mpaka mwisho wa mchango kakibanda kalikuwa nahali mbya😉😉
Basi nikamfuata yule Devo mdogo wa yule dada ilianipe mchango wangu kwani tarehe zimesha fika nilipo mfuata akaniambia nakupa kesho kesho ilipofika ikawa kesho nikaona hapa nikizubaa mtaji umeenda🤔🤔🤔niliamua kwenda kwa sura husika na hapo kwa sauti akaniambia mchango nimechukua nimekodi chumba ili tuishi wote kama hutaki nenda polisi ukawaonyeshe tulipo andikishana.
Akili ilisimama kidogo nikaona nikitumia paniki Hera yangu kwisha habari Basi kwasauti yenye uturivu nikamwambia kesho Hera iwe tayari nikatoka nikarudi kibandani pale kibandani kulikuwa namteja mmoja yeye alikuwa mtumiaji wa sigara na soda aina ya Pepsi kazi yake ILIKUWA kuchenji kwacha alikuwa anaitwa MARTINI alikuwa ni msafwa pia kwabahati nzuri narudi kibandani nikamkuta anani subiri pale nikamwambia nikamwambia brother afadhali umekuja kuna jambo naomba unishauri.
Basi nikamwomba Aingie kibandani akaingia nikamjulisha kuhusu lile tatizo baasi akacheeka akaniambia mdogowangu si nibahati hyoeeh? Kakupenda unamke kwani? Nikamwambia brother sinamke lakini sikuwatayali kuingia huko akaniambia mdogowangu mwanamke kakupenda chakufanya mwambie akuonyeshe chumba alicho tumia Hela yako ukikiona mwambie akupeleke kwa balozi andikisha majina Anza kuishi nae Kama huwezi kufanya hivyo basi Hela yako imeenda.
Nikawaza Sana nikamuuliza vpi polisi nikienda? martini akaniambia atasema umemhonga mlikubaliana na sikuhizi wanawake wanatetewa Sana naserikali Basi Kama unav yoju kila mtu ana rafiki anaye mwamini Nika amini ushauri wake nikafanya alivyo niambia ushamba na utoto jumlisha tamaa zamda mfupi jumlisha ushauri wamtu aliye kuzidi hakili nikaingia tegoni nikahamisha kila nilichokuwa nacho na kuhamia makazi mapya nikaanza kuitwa shemeji bwana😂😂😂 Maisha halisia ya ndoa yalidumu kwa siku 6 tu unajua nini kilifuata baada ya hizo siku??
TWENDE PAMOJA......