Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

USTAWI WA JAMII WALIVYO HARIBU MAISHA YANGU NO.8#nili endelea kujiuliza kwanini Devo ameniita wakati so mda tumetoka ku dhalili Shana? Nikaona niachane nayo hayo,nikaendelea na kazi yangu kwa bahati nzuri akaja yule mteja wangu wa soda aina ya Pepsi na sgara (MARTINI)tuka salimiana nika mjulisha kuhusu tukio zima akacheka Kisha akaniuliza je kwahiyo mme achana na devo?kwa uzuni Nika mjibu ndiyo brother kanitema kiivyo akacheka akasema Devo bwana,tukiwa tuna endelea nama zungumzo gafra akatoke Devo kwenye dilisha la kibandani akasema killing Nina shida na ww nyumbani naomba uje"kwa mshangao nikamuuliza Nije nyumbani kwako ulikopanga kwa Hera zako je ukiniita mwizi KAMA ulivyo ahidi itakuje?akasema nakuapia siwezi naomba uje Mara moja Kisha aka ondoka Nika Baki Nime duwaa🤔🤔🤔martini akaniuliza umeonaa?huyo nimkeo tuu atakuwa amefikilia maneno uliyo mwambia nikamuuliza je Nini nifanye?akanijibu nenda kwako Sasa hivi kile nichumba chako hawezi kuku zingua nikawaza kwa mda Kisha Nika mwambia martini natoka Mara moja niangalizie kibanda. Nika Toka na kuelekea nyumbani nilipo fika nyumbani.nikakuta amekaa🙊🙊🙊anawaza nilipo angalia mezani nikaona nguo (ped) ina damu nika shtuka kidogo🥺🥺Kisha nika kaa nika muuliza kunashida gani ume niitia? Huku niki iangalia ile pedi pale mezani aka kohoa kidogo kusafisha koo Kisha akasema KILLING NILIKUWA NA MIMBA YA MIEZI MIWILI ULIPO NIPIGA MIMBA IME HARIBIKA NIME ENDA HOSPITAL WAME NIAMBIA NIKACHUKUE PF3 POLICE KISHA WANI TIBU NIME WAZA NIKAONA NIKIENDA POLICE UTAFUNGWA KWAHIYO NIMEONA NIKA TIBIWE HOSPITALI YA BINAFSI NIME ENDA HOSPITAL BINAFSI NIME AMBIWA NITAFTE HERA SHILNGS 70000/= MIMI HERA SINA KWAHIYO NINA OMBA UNIPE HERA NIKA TIBIWE KAMA UTASHINDWA KUFANYA HIVYO BASI NIENDE POLICE WAKANIPE PF3 akaendelea kuongea huku akii angalia pedi pale mezani nakusema HIYO PEDI UNAYO IONA NIYA TANO NABADILISHA DAMU ZINANI VUJA NA NAJISKIA MAUMIVU PIA"KAMA HUNIAMINI TWENDE PALE PRIVATE HOSPITAL UKAJI HAKIKISHIE.devo aka maliza kuongea basi Mimi killing nkawaza nakuwazua Nika mwambia Sina zaidi ya alfu 50000/=hapa na hizi pesa niza kibandani tuna fanyaje? Akaniambia Nita ENDA kuwa OMBA wani saidie nikampa ile hera Kisha Nika muuliza Dada ako anajua kuhusu hii issue? Akanijibu hajui NIMEONA niku ambie Kwanza wewe ukikataa ndiyo ni ombe msaada kwa Dada Nika mpa Hera Kisha nika muonya asi mwambie mtu anijulishe kile kita kacho endelea nikatoka pale ndani huku nikiwaza ile Hera niliyo itoa ofisini nai rudishaje?nilipo kuwa na Rudi kibandani njiani.nikakuta sigara zime vunjwa vunjwa"" nikajiuliza Nani kavunja sgara hivi? Nikaongeza speed kuelekea kibandani chaku shangaza nilipo fika kibandani nikakuta pako wazi na hakuna mtu niliye muacha (Martini)pale.ambaye ni martini nilipo angalia sigara Nika gundua packet 2 hazipo nikajiuliza je sio zile? Nikarudi pale nilipo kuta sigara zime vunjwa Nika gundua nizangu" Tena mtu yule alikuwa anazivunja huku ana tembea"**hakili ikanijia faster nika Rudi kibandani Nika chukua daftari la kumbu kumbu za bidhaa nilipo fungua nilipo kagua bidhaa zote zika onekana zipo sawa" ispokuwa packet ya sgara embassy 2sm 1na sports moja Hanna ambazo SM na sport's nizile nilizo kuwa nime ziweka mezani ili kurahisisha uuzaji.kuhusu pesa bahati nzuri nots money zote nilikuwa nime ondoka nazo silver niliacha kidogo Ila skuzi hesabu kwa bahati mbaya kwani mtu niliye kuwa nime muacha pale kibandani ni mwenye MAISHA yake imean anajiweza KWAHIYO silver nizilibaki kidogo Sana nikajiuliza kwanini brother martin kafanya hivi? Kwann asini pigie simu kwamba anatoka? Je niyeye aliye vunja sigara zangu?na kwanini anifanyie hivi?kwa ugomvi gani? Nilijiuliza maswali mengi lakini mwisho wa siku Nika amua nimpigie baada ya kumpigia aka pokea nilpo muuliza akanijibu nilikuwa na haraka na Mambo yangu Kisha aka ikata simu." kwa sauti iliyo kaza aki onyesha he is ready fo everythings gonna be. kwani ana Hera nikaona Haina haja ya kumpigia Tena Nika funga kibanda nikawaza nitoke kidogo nje ya hili eneo la kazi NIENDE sehemu nitulize hakili nikajiuliza je NIENDE wapi? Hakili yangu ikaniambia vuka upande wa Zambia kanunue pombe Kari ya Zambia unywe uta lewa haraka kuliko ukiingia bar au grocery kwenye bia ili uitulize hakili yako basi Nika mwita boda Nika panda nakumwambia nipeleke ng'ambo,,safari iliendelea huku boda akiwa ameweka wimbo wa FID Q AUGUST 13 nakumbuka😃😃😃ilini ongezea machungu. na mistari yake ya hasira😣😣😣 basi Nika mwambia boda punguza speed ndugu yangu ili nipate kumsikiliza ngosha kwa utulivu japo kidogo.safari iliendelea huku nikifkilia nii pate wapi ile 50 niliyo itoa kibandani? 🤔🤔nikiwa kwa boda.na KAMA unavyo jua Sheria zetu mama"hazi ruhusiwi piki piki au baiskeri kupita ndani ya castam za Tanzania na Zambia wataaramu wetu Wana SEMA Zina chafua castams zetu😃😃 basi boda aka amua spite kwa bara bara ya pembeni ili tutokee upande wa Zambia tulipo kuwa tuna Anza kuingia kwa njia ya pembeni kwa mbele nikaona fuso KAMA tatu hivi zime ziba kale ka bara bara kapembeni 😖😖😖basi na kwa kuwa nyimbo niliyo kuwa naiskiliza imeisha nika mwambia boda ishia hapa.nta tembea kwa mguu Nika shuka nikamlipa Kisha Nika endelea na safari kupitia ki bara bara kile kile Cha pembeni nilipo zisogelea zile fuso Nika gundua zilkuwa zime beba mahindi kutoka Zambia Zina kuja Tanzania nitumie fursa hii pia kuku jurisha kwamba 95% YA TONES ZA MAHINDI YANAYO ENDA KENYA YANA TOKEA ZAMBIA CHUKUA HIYO...tuna endelea baada ya kuziona zile fuso zime beba mahindi nikajiwa nawazo lakutaka kujua mahindi Yana TOKEA wapi?basi Nika amua kuzunguza na dreva mmoja wapo.nikamuuliza vipi boss mbona mmezuia njia?akanijibu gari yangu ina poteza upepo kwahiyo nime mtuma konda aniitie fundi pale juu.nikamuuliza Tena hivi haya mahindi mna pakilia wapi boss Kuna mtu kaniambia NIENDE kwenye soko la mahindi nikamchukulie Hera Sasa sja jua niwapi huku ng'ambo?? Dreva akanijib nyooka nahii bara bara ukifika hapo juu utaona mahindi ya mengi yame mwagwa.ukiona mahindi tu jua pata kuwa ndiyo hapo hapo. basi wakuu wazo la pombe Nika ahilisha nilipo fika pale sokoni niliona ma roli mengi ya Zambia Yana shusha mizigo ya mahindi yaani ni tones of tones nikaona vijana wakipima nakupakia mahindi"wengine Wana shusha wengine wanalipana pesa nikaona kibanda pembeni.nikaenda pale nilipo fika nikaa Giza soda badara ya pombe" Nika kaa pale kwenye kiti ndipo Nika shuhudia vijana makuri.waki tumia pesa kwa vurugu waki tajiana pesa walizo ingiza lakini mmoja alini fanya nifikilie kujifunza kubeba gunia😃😃 baada ya kusema Jana nime tumia laki leo nime ingiza laki 2 sbebi Tena gunia saizi mpaka kesho🙄🙄aiseeh skuamini nikaona nitulize Hakili sjakaa sawa akaja kuri mmoja aka mwambia muuza kibanda nipigie hesabu ya bili yangu Toka hasubuhi.basi yule mwenye kibanda aka mwambia Nakudai 55600/= nikaona yule kuri akizama mfukoni na kuchomoa kibunda Kisha akatoa alfu 70000/=akampa mwenye kibanda huku aki mwambia mwanangu eeh.kata Hera yako chenji inayo Baki mpe bia huyu jamaa ni mwanangu ana goal KAMA wewe.Majengo pale afu HIYO teni inayo zidi utajua mwenye nme kubarikia kiuni au sio? basi yule jamaa pale kibandani akajibu fresh mwanangu.jamaa akaondoka nikiwa najaribu kumbuka. sjakaa sawa Nika ulizwa unatumia pombe gani? Basi Nika mwambia kata ya soda kisha nipe chenji😂😂INAENDELEA...
we jamaa weka aya
 
Kweli kuishia la Saba b si mchezo [emoji848][emoji848]

Nimetoka bila bila
 
USTAWI WA JAMII WALIVYO HARIBU MAISHA YANGU NO2.... baada ya kuanza kuishi pamoja ndani ya siku 6 zenye fraha gafra ndoa ili ingia dosali nikiwa najiandaa kwenda kwao ILIKUWA hivi nilikuwa nimetokea kazini ILIKUWA mida ya ya saa tatu jioni nikafika nyumbani
na Nili ingia bila taarifa nilipo ingia ndani nikamkuta anaongea nasim lakini gafra akaikata huku akiniangalia kwa mshangao sikuuliza kitu Ila nilikuwa nime not kitu nikamsalimia nikaanza huhesabu mauzo Nika mwazima cm yake nikamwambia nataka nipigie hesabu yakwangu imezima chaji akanipa cm yake nikaingia kwenye call settings nikatafta auto voice recorder Nika nikaiwasha Kisha nikamkabidhi Nika mwambia tayali nimemaliza hesabu baada ya hapo nikiwa najiandaa kwenda kuoga akaniambia kunatatizo naomba tuzungumze nikamwambia sawa niambie akaniambia kunamsiba umetoka kwetu na kesho inabidi niende. nikahoj Nani kafarik? Akaniambia nibinam yangu. nikahoj mbona gafra umeniambia nagfra saizi unaniambi a unataka kuondoka kesho hasubuhi Kwann usinipe mda angalau uondoke kesho jioni? Akaniambia haiwezekani iwe isiwe lazima niondoke kesho hasubuhi Basi nikazama mfukoni nikampa tsh 50000/=nikamwambia hiki ndicho ninacho weza kukupa kwa Sasa akapokea nikaingia bafuni baada ya kurudi nikakuta chakula kipo tayali nikiwa nakula Basi yeye alikuwa akiniangalia kwamda mlefu japo hakujua najua ananiangali [emoji6][emoji6]gafra cm yake ikaita akapokea huku akisema nae huyu" alipo pokea cm skujua alikuwa anaongea nanani Ila niliskia akisema nakuja kesho,,nakuja keshoi"akaikata nakuiweka mezani. baada ya Kula nikachukua Sim yake nakuenda nayo NJE nikimwambia nafika dukani hapo NJE maramoja itanisaidia mwanga kwani mvua zilikuwa bado zinanyesha nilipotoka nje nikaingia kwenye audio iliyo rekodiwa skuamini nilichokuwa naskia alikuwa ni mwanaume Tena anaongea kwanguvu zote sauti Kali akiuliza ukowapi wewe? Basi mama chanja kwaupole akaitikia nipo kwadada tunduma, unafanyanin huko?? Nakuja kesho hasubuhi. Unasemaje wewe mwanamke mbona unkazingum Sana wewe mwanamke??nakuja kesho hasubuhi msinabani..msiba gani? Jamaa aliendelea kuuliza kwa ukali amekufa gwila. hivi wewe mwanamke unaniona Mimi mjinga gwila yupi aliye kufa? Basi mama chanja akaikata cm nikawa nimedata kiasi[emoji37][emoji37] nikaenda dukani jirani nikachukua kavarue nikajimiminia nikawaza Nika piga sim vodacom nikiomba wanisaidie kumpata huyo jamaaa anae niibia mke.voda wakaniambia huyo kwako nimkeo sisi kwetu nimteja na hatuwezi kutoa information s zake bila ruhusa yake iwapo utataka kufanya hivvyo Basi nenda polisi kachukue kibari Kisha uje huku nikauliza hakuna njia nyingine yakunisaiidia Basi yule muudum alikuwa wakiume akaniambia Kuna meseji ntakutumia ifanyie kazi itakusaidia baada ya dakika tat u meseji ili ingia ILIKUWA ninamba namaelezo mafupi yaliyo andikwa MPIGIE JITAMBULISHE MWAMBIE KILAKITU ATAKUSAIDIA....... TWENDE MBELE.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yan ukawapigia voda kuwambia wakusaidie kumpata mchepuko wa mchepuko wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
USTAWI WA JAMII WALIVYO HARIBU MAISHA YANGU NO.5#..baada ya kuagana na Devo nikaenda zangu kibandani nikaendelea na kazi zangu za Kila siku ilipita mwezi mmoja hakuwahi nipigia simu Wala mimi sikumpigia simu nika pambana ku hakikisha nairudisha ofisi yangu kwani ilikuwa tayali imeteteleka mungu mwema ndani ya mwezi mmoja Hari ilitengamaa nikiwa Bado pale kibandani na endelea na kazi yangu GAFRA nikaskia sauti ya devo mgahawani kwa Dada ake akiongea skuamini nikatega skio vizuri nikahisi alikuwa yeye kabisaa lakini Bado skuamini mpaka nikaamua kumtuma bwana mdgo mmoja ndipo nilipo kuja kuamini BAADA ya yule dogo kuniambia alikuwa yeye"skuamini nili ishiwa nguvu nikajiuliza je atakuwa taira kweli? Skujali nikaendelea na Mambo yangu BAADA ya Kama nusu saa akaja moja kwa moja mpaka kibandani bila saramu wala Nini na kuniambia naomba funguo na Hera ya mboga nikamuuliza unaongea na Mimi? Akajibu ulijua unaongea na Nani? Basi nikamtazama kwa mdaa Kisha nikampa funguo na Hera ya mboga akaondoka bila kuaga nikacheka huku nikisema kweli taahira wewe ilipo fika jioni nikarudi nyumbani ndipo nikamkuta amekaa katuria turii chakura kipo tayali mezani nikataka Nile hakili ikaniambia acha kaoge Kwanza. Basi kwakuwa umeme ulikuwa umekatika nikachukua simu yake iliyo kuwa pale mezani kwani yakwangu ilikuwa tayali imeni ishiwa chaji BAADA ya kuchukua simu GAFRA akaikwapua simu nakusema niachie simu yanguuu kwasauti kalii nikaona isiwe kesi nika mwachia simu yake chaajabu BAADA ya kumwachi a simu akaondoka moja kwa moja mpaka chooni kule chooni alikaa kwa katibu nusu saa Basi ikabidi nimfuate nilipo mfuata kule chooni nikamkuta ameshika simu afu Kama anachati hivi nikashangaa kidogo nikamuuliza hivi unatatizo gani wewe hujiskii kinyaa? hebu Rudi ndani akaonekana Kama anasita hivi Basi Nika mshika mkono kwa nguvu nakumvutia nje nakumbuka Ile siku kulikuwa nakamvua kidogo Basi pale nje kulikuwa na dishi lililo kuwa lime kingwa maji tayali na limejaa Basi nikiwa nipo nyuma yake yeye yupo mbele yangu GAFRA akainama nakulibeba lile dishi lililo jaa maji nakuni mwagia mwilini huku akisema mbwa wewe"Kama mnavyojua maji ya baridi jumlisha baridi ya masika nailed kumwagiwa gafra hahaaa ndugu zanguni kilicho fuata pale nikajikuta Nina nguvu za ajabu nili mvamia GAFRA nakumbuka ndani kulikuwa na cheni za mtofyo zile huwa zinakuwa Kama shanga BAADA ya kumvamia nilimlamba mtama mashuhuri pale na kabra hajafika chini nilimzuia Kisha Nika msukuma akaangukia kifua huku akijizuia kwa mikono kabra hajakaa sawa nili mshika kiunoni bahati nzuri alikuwa amevaa track suit nakitenge baasi ndugu zangu Nika kusanya chupi track suits Tait nikamshika vizuuri kiunoni pale nyuma Kisha nikamnyenyua akawa yupo baranced nikamrusha kuelekea mlangoni yaani mlango alifungulia kichwaa chake kwa kuu bamiza nilipo fika pale ndani sebureni nikavuta ilecheni ya mtofyo nilipiga mpaka ika katika katika kwa bahati mbaya mlango uliacha kamwanya alipo nicholopoka huku akipiga kelele nakufaaa akanyooka moja kwa moja mpaka mlangoni kwa jirani nakuingia mle ndani Nika note kitu nikagundua huyu ndiye mshauri wake Nika Choma humo humo huku akichezea kichapo akaingia mpaka chumbani kwa jirani ambako nilikuta wapo kitandani wakiwa uchi [emoji3][emoji3][emoji3]skuwa nashida nao kwani nilikuwa nime vurugwa niliendelea kugawa kichapo Basi jirani na mke wake Waka choropoka kwaspidi wakajifunika vitenge wakatoka nje nakufunga mlango kwa nje niliendelea kugawa kichapo mpaka mtu akaanza kuunguruma Kama mbwa Koko anae sogerewa na mbwa Koko mwenzie kipindi akila mfupa baasi pale nikawahi komeo ya ndani nikafunga kwandani ili mtu yeyote asiingie kisha nikaturia nikakaa kwenye Kochi kimyaa huku chini mtu anakoroma.nje naskia minong'ono ya wtu.Basi pale nikagundua nime zungukwa. Basi nikaskia sauti ya barozi akisema hapa hakuna Cha kuzungumza nae huyu nikuvunja mlango Kanata piga kamba Kisha polisi Basi DEVO AKAZINDUKA AKAPIGA KELELE NAKUFAAA nika mwambia turia wewe ntakuwa kweli. barozi akauriza kinafki umemaliza kupiga baba?[emoji3][emoji3]nikamjibu tayali mzee! tuingie nikamjibu ngoja niwa fungulie BAADA ya kuwa fungulia ndipo nikagundua kulikuwa na mbarozi watatu wakwanza akauliza kwanini unafanya hivi?wapili akasema hakuna haja ya kuuliza hapa nkupeleka mtu polisi! wa tatu akasema lazima Kuna sababu so hivi hivi mbona kijana Ana onekana nimstaarabu katufungulia tumeingia Basi yule wapili akasema ehee tueleze wewe mwanamke imekuaje? Basi Devo AKAZINDUKA alionekana nimwenye maumivu makali na kwenye kuonewa mnyonge nakuanza kuzungumza huku akilia akisema...INAENDELEA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hii story n ya kweli yote haya uliyataka mwenyewe
 
"BAADA ya Kama nusu saa akaja moja kwa moja mpaka kibandani bila saramu wala Nini na kuniambia naomba funguo na Hera ya mboga nikamuuliza unaongea na Mimi? Akajibu ulijua unaongea na Nani? Basi nikamtazama kwa mdaa Kisha nikampa funguo na Hera ya mboga akaondoka bila kuaga nikacheka huku nikisema kweli taahira wewe"




Ustahimilivu umeishia hapa aseee
 
Niliwahi kuandika na ninarudia, hizi story tusisome kama kufurahisha na kupotezea muda kuna kitu cha kujifunza pia kuna fulsa hapo kwa hapo!.
 
Back
Top Bottom