Ila wewe unayechekea na kishadadia unyanganyi wa vitonetone vya wanyonge utabarikiwa, au vipi?!!!Wewe jamaa una akili ndogo sana
Ndo maana mnapiga kelele ml 20 za heche na kubariki ufisadi unaoibuliwa Kila siku na CAG
Nyie watu mtalaaniwa na vizazi vyenu haki nawapia
Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?
View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
Inawezekana jibu lisitosheleze,mwaka 2010 nikiwa bado Chadema wamoto kabisa,kwenye vikao vyetu tulikuwa tunapewa taarifa kuwa mgombea wa Uraisi kupitia tiketi ya Chadema atakuwa Mama Tibaijuka,ila ghafla naona akashawishiwa kugombea ubunge kupitia CCM,mama Tibaijuka tokea akiwa bado Lecture alikuwa ni mwanaharakati na mwanageuzi mzuri sanaUswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?
View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
Vipi kuhusu urafiki wa Bongentanya Chivayo na Bi Mkubwa, na wenyewe ulianza lini?Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?
View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
Wewe jamaa una akili ndogo sana
Ndo maana mnapiga kelele ml 20 za heche na kubariki ufisadi unaoibuliwa Kila siku na CAG
Nyie watu mtalaaniwa na vizazi vyenu haki nawapia
Kwahiyo Heche anaruhusiwa kuiba kwasababu anaiba kidogo? NIMEKUSOMA!ππππWewe jamaa una akili ndogo sana
Ndo maana mnapiga kelele ml 20 za heche na kubariki ufisadi unaoibuliwa Kila siku na CAG
Nyie watu mtalaaniwa na vizazi vyenu haki nawapia
Lissu kasema Tibaijuka na Maaskofu ni majizi yaliyotumia bank ya kanisa ya Mkombozi kuingiziwa rushwa. Swali ni hawa watu wote kwenye wizi ule walisafishwa lini hadi sasa wawe na ukuruba na mwenyekiti mkuu? Jibu tu jamaniWewe jamaa una akili ndogo sana
Ndo maana mnapiga kelele ml 20 za heche na kubariki ufisadi unaoibuliwa Kila siku na CAG
Nyie watu mtalaaniwa na vizazi vyenu haki nawapia
huenda ni unafiki miongoni mwao ndio umewaunganisha πUswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?
View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
Kuna kitu kinaitwa Uwezo, ukisikiliza hotuba ya Mwl. NYERERE wakati anaendaa kumtwanga Nduli alifika pahala akaanza kuzungumzia Uwezo, elewa neno Uwezo, kweenye maelezo yako ongezea kitu kingine kinaitwa Uwezo ukiondoa Sababu na Nia zingatia UwezoJibu ni rahisi tu mtoa mada; Imani, jinsi, uwezo na ukanda wa Samia baaasi. Ni hivyo tu ndo hawavipendi na ndo maana wameungana kwa sababu hizo.
Kwani wewe kuwa chawa wa samia na Abdul umeanza lini?Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?
View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL