Hawa ndio watanzania wenzetu hatutachoka kuwaelimisha. Mara nyingine wanaambulia aibu kwenye maandiko yao hakuna wanaokubaliana naoWewe jamaa una akili ndogo sana
Ndo maana mnapiga kelele ml 20 za heche na kubariki ufisadi unaoibuliwa Kila siku na CAG
Nyie watu mtalaaniwa na vizazi vyenu haki nawapia
Kanisani wanatoa kwasababu ya imani ya kupona shida zao kama ilivyoandikwa kwenye biblia. Hii tonetone watu wanatoa kwa imani gani? wanatoa ili kupata nini in return?. Au ni ileile ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari ipe kaisari?Sikiliza wewe kenge kati ya watu wanachangia tone tone hakuna anayelazimishwa wanatoa kwa mapenzi Yao na chama chao wenyewe. Kama unawapenda hao wanyonge mbona hukemei wanyonge wanaotyoa kwenye makanisa ya kiroho?
Mwamposa alitangaza sadaka ya jimalize pale kawe watu walitoa mpaka shilingi ya mwisho na kutembea kwa miguu mbona hatujasikia ukibinua makalio na kuwasemea?
Unataka kusema Yale matrilioni ya CAG siyo ya wanyonge ila tone tone ndo za wanyonge?
Si yule mwenye kichwa kama boga alisema tone tone ni kwa akili ya kununulia ebola? Sasa hizo anazovhukua heche ni zipi?
Yale mabilioni ya kampuni yaliyochangwa na kina GSM yaliyolewa Ili kupata nn in return?Kanisani wanatoa kwasababu ya imani ya kupona shida zao kama ilivyoandikwa kwenye biblia. Hii tonetone watu wanatoa kwa imani gani? wanatoa ili kupata nini in return?. Au ni ileile ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari ipe kaisari?
Ila ni halali kutoza muuza mahindi bararbarani unamuingizizia mtu bilioni 20 kwa ajili ya poshoNi dhambi kubwa kuchangisha 200 za watu maskini halafu makamu mwenyekiti unanunua PRADO la Tsh milioni 160 wakati huohuo wa uchangishaji.
Una ushahidi nenda mahakamani.Ila wewe unayechekea na kishadadia unyanganyi wa vitonetone vya wanyonge utabarikiwa, au vipi?!!!
Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?
View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL