76Dkk ya ngapi huko?
Mpumbavu wewe, huna akili.Nyingi wamemlenga. Wakipiga vichwa vya pembeni sijui kama atatubeba Manula
Hata mimi mkuuHili wala halina ubishi. Tena mimi ni Yanga damu.
Substitution huwa ni kama kubet tu.Aslilimia 90 ya makocha huwa wanabahatisha kwenye substitution
Kuna matumaini ya kupata ushindi hapo, wametufunga kwetu tuwafunge kwao, simple tu.
hakuna namnaKuna matumaini ya kupata ushindi hapo, wametufunga kwetu tuwafunge kwao, simple tu.
Babu umekwama[emoji23][emoji23][emoji23]tena kwenye tope ziiiitoWakuu leo tena timu yetu ya taifa inashuka dimbani navyoona mie matokeo yatakuwa hivi
Benin 2 stars 0
FT 1-0Dakika ya ngapi huko?
Kabisa!Manura ndio Man of the match, hili halina Mjadala.
Mimi ni Yanga damdam, Asante sana Manura kwa kujitowa kulinda heshima ya Taifa.
Hatukudharau mtu mechi iliyopita ni uzembe tu wa ma forwardMpira umeisha tayari tumeshinda.
Benin hawataamini, kama tuliwadharau kwetu wakatupiga, nao wametudharau kwao tumewapiga.