Utabiri Benin vs Taifa stars

Utabiri Benin vs Taifa stars

Sasa hii ina maana gani kucheza bila malengo? Unafungwa nyumbani unaenda kushinda ugenini,leo tusali Congo wadraw
 
Mpira umeisha tayari tumeshinda.

Benin hawataamini, kama tuliwadharau kwetu wakatupiga, nao wametudharau kwao tumewapiga.
 
Mpira umeisha tayari tumeshinda.

Benin hawataamini, kama tuliwadharau kwetu wakatupiga, nao wametudharau kwao tumewapiga.
Hatukudharau mtu mechi iliyopita ni uzembe tu wa ma forward
Ila Leo Benin wameupiga
 
Back
Top Bottom