Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

Ukwel mchungu
 
Atakua fala, ni lazima wakubali kuona potential ya each other na strategically waunganishe wananchi na nguvu zao.
Mafarakano sababu ya vyama hayana tija wala afya.
Nakubaliana na wewe mkuu 🤝
 
Mimi sio mtaalam sana wa tabiri, lkn huu utabiri wa Sugu umenijia ndotoni ghafla nikaona nije niwashirikishe watu hapa JF, ili likitokea niseme kumbe nilichokiona ndotoni ndio kilichotokea.
Kumbe ni mambo ya ndoto..., ok ngoja tusubirie.
P
 
Tambo za kabla ya chaguzi huwa ni hizihizi miaka yote!

Na lawama za baada ya chaguzi zinafahamika miaka yote.
Shida ni Tume ya Uchaguzi inayoratibiwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Nashauri uzi huu ungeendana na vigezo anazotakiwa kuwa nazo Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, halafu tuangaloe kama Sugu anakidhi vigezo hivyo.
Utabirri usiozingatia vigezo n8 utabiri wa kiajali ajali.
Vigezo ni ushawishi na kukubalika.
 
Ni vigumu mnyarwanda kuelewa kilichoandikwa na mtanzania.

Kama una rafiki yako mtanzania mwambie akutafsirie mkuu. Si unaona watanzania halisi wamenielewa na Ku comment kutokana na kile walichoelewa!!
Akili ndogo sana, unajificha kwenye utabiri uchwara ,stupid
 
Shida ni Tume ya Uchaguzi inayoratibiwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwani Sugu alivyoshinda uchaguzi wa ubunge jimbo la Mbeya mjini, tume ya uchaguzi ilikuwa ipi?Mkishinda all is allright mkishindwa tume ya uchaguzi haitendi haki!!!
You cannnot have both ways.You cannot have your cake and eat it too.
 
Ulichoandika kina ukweli, hata mimi nitakuwa mmoja wa wachangiaji wa ticket yake ya urais.

Wana mbeya, iringa na songwe tupambane kuhakikisha sugu anakua mgombea urais wa chadema mwaka 2025, maana lisu ushawishi wake umeshuka sana na pia hana jipya la kushawishi watu wampigie kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…