Utabiri: Manara kuwa huru kabla ya Siku ya Mwananchi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF.

Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
 
Unamaanisha TFF ni paper tiger [emoji234][emoji234][emoji234] kama USA[emoji23][emoji23]
 
Wacha atie mkono kesi yakishamba sana,rais wa tff nae anakuwa na timu lazma ugombane na watu?
Daah! Wewe jamaa wewe? Kuna nchi ambayo kiongozi wa chama cha soka cha taifa hana timu anayoishabikia?
 
Kuna kosa eti la kuwa na Embassy na kibiriti. TFF[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hakuna kosa, hayo ni maelezo ya shahidi kuwa wakati manara akiongea hivyo, alikuwa ameshika vitu hivyo

Sawa angesema alikuwa ameshika gazeti
 
Wacha atie mkono kesi yakishamba sana,rais wa tff nae anakuwa na timu lazma ugombane na watu?
Waulizeni Kenya baada ya kuingiza siasa kenye mamlaka za kimpira, huko FIFA Baba'ke Rizimoko ni tako tu.

Tena huko FIFA tumeenda mbali, tuseme CAF tu huyo baba yenu ni tako tu hana la kufanya, nyinyi kateni rufaa muende CAS.
 
Boraaa uwaambie haswaaaaah.
 
Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF.

Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
Kabla ya Kuvuta Bangi hakikisheni kuwa mmekula Kwanza na mmeshiba vyema sawa?
 
Waulizeni Kenya baada ya kuingiza siasa kenye mamlaka za kimpira, huko FIFA Baba'ke Rizimoko ni tako tu.

Tena huko FIFA tumeenda mbali, tuseme CAF tu huyo baba yenu ni tako tu hana la kufanya, nyinyi kateni rufaa muende CAS.
Umeenda mbali sana mambo mengine FIFA hayawahusu swala la msemaji wa team sio la FIFA
 
Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF.

Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
Mmeanza utabiri na siyo maisha halisi?Mfundeni aache tabia za kijinga.
 
Mnapenda kujidanganya halafu mnamuona Manara mungu mtu wenu, huyo akisamehewa kwasababu yoyote ile na wengine wote nao wafunguliwe, hana special wowote zaidi ya ujuaji wa kishamba.
 
Back
Top Bottom