Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Unamaanisha TFF ni paper tiger [emoji234][emoji234][emoji234] kama USA[emoji23][emoji23]Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF.
Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
Unamaanisha TFF ni paper tiger [emoji234][emoji234][emoji234] kama USA[emoji23][emoji23]
Umeelezea juu juu sana, kivipi, nini kimekupa haya maonoKwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi ...
Eti wanasema Baba rizmoko Katia mkonoUmeelezea juu juu sana, kivipi, nini kimekupa haya maono
Eti wanasema Baba rizmoko Katia mkono
Wacha atie mkono kesi yakishamba sana,rais wa tff nae anakuwa na timu lazma ugombane na watu?Eti wanasema Baba rizmoko Katia mkono
Daah! Wewe jamaa wewe? Kuna nchi ambayo kiongozi wa chama cha soka cha taifa hana timu anayoishabikia?Wacha atie mkono kesi yakishamba sana,rais wa tff nae anakuwa na timu lazma ugombane na watu?
Kuna kosa eti la kuwa na Embassy na kibiriti. TFF[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waulizeni Kenya baada ya kuingiza siasa kenye mamlaka za kimpira, huko FIFA Baba'ke Rizimoko ni tako tu.Wacha atie mkono kesi yakishamba sana,rais wa tff nae anakuwa na timu lazma ugombane na watu?
Boraaa uwaambie haswaaaaah.Waulizeni Kenya baada ya kuingiza siasa kenye mamlaka za kimpira, huko FIFA Baba'ke Rizimoko ni tako tu.
Tena huko FIFA tumeenda mbali, tuseme CAF tu huyo baba yenu ni tako tu hana la kufanya, nyinyi kateni rufaa muende CAS.
Kabla ya Kuvuta Bangi hakikisheni kuwa mmekula Kwanza na mmeshiba vyema sawa?Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF.
Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
Umeenda mbali sana mambo mengine FIFA hayawahusu swala la msemaji wa team sio la FIFAWaulizeni Kenya baada ya kuingiza siasa kenye mamlaka za kimpira, huko FIFA Baba'ke Rizimoko ni tako tu.
Tena huko FIFA tumeenda mbali, tuseme CAF tu huyo baba yenu ni tako tu hana la kufanya, nyinyi kateni rufaa muende CAS.
Mmeanza utabiri na siyo maisha halisi?Mfundeni aache tabia za kijinga.Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF.
Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...