Utabiri: Manara kuwa huru kabla ya Siku ya Mwananchi

Shafii dauda na wengine waliofungiwa wafunguliwe basi ili kuwe na double standard.... nashukuru Ile kamati ya tff haina siasa...lungu litaendelea msijipe moyo kwa vitu ambavyo havipo
 
Shafii dauda na wengine waliofungiwa wafunguliwe basi ili kuwe na double standard.... nashukuru Ile kamati ya tff haina siasa...lungu litaendelea msijipe moyo kwa vitu ambavyo havipo
Soma kwa makini ulichoandika basi, ili kuwe na DOUBLE STANDARD au kusiwe na DOUBLE STANDARD ?
 
Kwann afunguwe miaka 2 halafu ile Faini yake iwe kubwa?

Kuna namna hii kesi inaendeshwa?

Mbwana Makata na mwenzake walikula mvua ya miaka 5 na faini juu,ikapunguzwa hadi kufikia miezi 6

Kuna namna ile miaka 2 inaenda kufutwa na kubaki faini ya milioni 20 na huyu kuwa Huru
 
Hakuna kosa, hayo ni maelezo ya shahidi kuwa wakati manara akiongea hivyo, alikuwa ameshika vitu hivyo

Sawa angesema alikuwa ameshika gazeti
Kwahiyo kama walijibizana na kutishiana. Na kunyoosheana vidole. Why Karia yeye hajaitwa kushitakiwa, kujitetea?
 
Kama unataka aanza kui challenge hiyo Sheria na kanuni iliyotumika kumliga hizo nyundo,au unafikiri amehukumiwa kwenye kijiwe cha kahawa.
 
Kwahiyo kama walijibizana na kutishiana. Na kunyoosheana vidole. Why Karia yeye hajaitwa kushitakiwa, kujitetea?
Unategemea kupata jibu hapa? Ndiyo maana kapewa siku 21 za kukata rufaa. Nyie watopolo ni mazuzu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…