Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Kuwa Rais anaweza,ila kuwa Rais mwenye mafanikio kuliko yeyote Africa ni kutudanganya! Kwa watu wapi atakaofanya nao kazi? Kwanini waliopita hawakuwa marais bora Africa afanikiwe Dotto? Tunapaswa kuutazama urais kuwa si kitu cha mtu na kutazama nguvu kubwa waliyonayo wanaomzunguka Rais kwenye mafanikio ya taifa.
 
CCM mnamtisha maza eee? mmesahau kwamba yeye ndiye Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote? unless mwenyewe aamue kumpumzika vinginevyo mnajua vitu vizito ambayo hutua kichwani - 😀 😀 😀
 
Haya bwana. Aliyetabiri kuanguka ndege utabiri umetimia. Ngoja tusubiri wa kwako.
 
Hata Muhoz Kainerugaba anafaa Sana Hapo uganda!umeshamshauri mzee apumzike na ni zamu ya Kijana wake!!?

Kuhusu ukorofi ule atatulia tu akiwa chini ya uangalizi kama Rais wa Uganda!!

Wasalimie kina iliharugo Hapo Mbarara!!
 
Mkuu hilo jina limekufanya unitoe Tanzania kunipeleka Ikulu ya Uganda. Nitazifikisha salamu nikiwa Tanzania kama Mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…